BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
utakuja ujambiwe mdomoni shauri yako🤣🤣 head forehead
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakuja ujambiwe mdomoni shauri yako🤣🤣 head forehead
Kile kiumbe nikikitafakari huwa nachoka.• Alikuwa na kipaji sana huyo jamaa 😄,
• Wanafunzi mwenzio wanaweza hisi ni mchawi
Nliwahi kusoma na jamaa wa aina hii Uganda, darasani haendi hakuna anae jua jina lake tuliishi hostel moja kwa wiki anaonekana mara moja au mbili usiku alikua ana pesa nyingi kidogo mimi nlikua rafiki yake alikua akija ananipa pesa nyingi kuna kipindi nli ibiwa simu nikashangaa akaniletea simu mpya baada ya masomo alikuja kunitafta kwenye social media akaniambia yupo US anifanyie mchongo niende kwa kweli nlikataa sababu hakua mtu wa kufungukaKulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani.
Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu aliyejua sehemu alipokuwa akiishi, hakuna mtu aliyejua chochote kuhusu huyu mtu isipokuwa jina lake. Tukiwa darasani alikuwa hajibu maswali ila mitihani alikuwa anapata alama za juu sana.
Alikuwa kwenye group la whatsapp la chuo na hakuwahi ku-comment chochote na siku tulipomaliza chuo alileft Group, Alikuwa haendi Kanisani/msikitini na wala hakujihushisha na dini yoyote. Tangu ile siku ya mtihani wetu wa mwisho, hakuna mtu aliyemwona au kusikia Alipo.
Alikuwa hazungumzi kamwe labda tuaze sisi kuzungumza naye, na mda mwingine anaweza kukupuuza. Kama kutakuwa na tukio fulani maeneo ya chuo mara nyingi alichangia mchango kuazia Tsh. 40,000 na zaidi, na alipenda kutumia jina la mtu asiyejulikana, hata akichangia hakuwahi kuhudhuria sherehe/tukio hilo.
Wasichana katika darasa letu walimchukia sana , kwa sababu hawakuweza kuwa naye kwa namna yeyote ile.
Wengi wetu tuliamini kuwa yeye ni Afisa Usalama anayefanya kazi katika serikali ya Tanzania ambaye lengo lake labda lilikuwa ni kufuatilia usimamizi wa chuo. Alijifanya kama mcha Mungu na aliheshimiwa na kila mtu.
"Obidux Baljidanz" alikuwa mtu asiyejulikana.
Je, ni watu gani wenye mambo ya ajabu, ambao umekutana nao?
Andika vizuri wewe. Ko ndio nini?Ko alikuwa TISS
Hata nchi yetu inachangia kuua vipaji, Mtu wa design hiyo, ilitakiwa mapema sana, aandaliwe fani inayomfaa, Hata Forecasting.Kile kiumbe nikikitafakari huwa nachoka.
Sahivi yupo tu anapambana na biashara, ingekuwa akili za darasani ndio kufanikiwa niseme angekuwa anakaa na dewji meza moja.
Karibu sana mkuuDuh aiseee
😄😄, Ulikataa mchongo mkuu, Sasa hivi ungekuwa bilionea.Nliwahi kusoma na jamaa wa aina hii Uganda, darasani haendi hakuna anae jua jina lake tuliishi hostel moja kwa wiki anaonekana mara moja au mbili usiku alikua ana pesa nyingi kidogo mimi nlikua rafiki yake alikua akija ananipa pesa nyingi kuna kipindi nli ibiwa simu nikashangaa akaniletea simu mpya baada ya masomo alikuja kunitafta kwenye social media akaniambia yupo US anifanyie mchongo niende kwa kweli nlikataa sababu hakua mtu wa kufunguka
Inawezekana ilikuwa hvyo🤔 Duh, yawezekana zile sphinctermuscles/kikana mkojo zilikuwa na shida
Kibofu au kibovu?Kibofu chake ni kibofu.
Da! Noma sana ile video nimeirudia mara mbili tu kuiangalia🤦😆🤣yaani bongo hii sio poa kama kuna video moja imetrend sana jana ya yule dada muuza ndz kkoo utashangaa nae anapata mashavu na matangazo ya kutosha kwa kipaji chake cha kutikisa makalio
Hapana mtu hakupi ABC anakwambia just come and get rich huko ni kujitoa mhanga, nlimwambia nna mkataba na kampuni anipe muda nita join nae baadaeKaribu sana mkuu
[emoji1][emoji1], Ulikataa mchongo mkuu, Sasa hivi ungekuwa bilionea.
Kunywa tu tukisonga mkuu"Alijifanya kama mcha Mungu na aliheshimiwa na kila mtu."
Mbona mwanzo umetuambia alikuwa haendi kanisani wala msikitini?
Forecasting?😂Hata nchi yetu inachangia kuua vipaji, Mtu wa design hiyo, ilitakiwa mapema sana, aandaliwe fani inayomfaa, Hata Forecasting.