The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ni kisa cha kweli alinisimulia mtu mmoja tulikutana kwenye basi natoka Dar kwenda Moro. Akasema kaka yake alikuwa na rafiki waliyependana sana lakini kwa bahati mbaya kumbe yule rafiki alikuwa akila mke wake.
Siku ya siku ikafika yule bwana akawafumania baada ya lile fumanizi maisha ya yule jamaa yalikuwa ya wasiwasi sana ikafika mahali akatoroka na kutokomea kusikojulikna mpaka sasa.
Naomba kama umewahi utusimulie nini ulieperience.