Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
AlaaYes.
Huyo jamaa tulikuja kufumaniwa nae kwenye gari...sio kumaniwa ile tunafanya mamboz, ni ile tu mtu wangu alitukuta ndo ananishusha kituoni.
Ikatokea vurugu jamaa akapigwa, gari yake ikavunjwa vunjwa vioo..kesi hadi polisi.
Kesho yake mie nikamtafuta jamaa kumpa pole na kumpatia hela ya matibabu😅😅. Tukastop kwa muda baadae tukaendeleza kama kawa.