Umewahi kula/kuliwa mtu wa rafiki yako wa karibu sana, tupe uzoefu

Me kuna manzi nipo nayo chuo,course moja kabsa,rangi flani ya chocolate,macho yake mashaallah………..pisi kweli kweli😋😋Ila ilianza kunishobokea sana

Me ni mtu ambae uwa naenda chuo mpaka kuwe kuna sababu maalum ya kunipeleka chuo,otherwise sitokwenda coz uwa nipo busy sana na mambo ya mengine ya kusaka pesa(Dar kunahitaji uchakarike hasa)

Basi,akawa ananiulizia kwanini sitokei Chuo Mara kwa mara,mara nisipokuwepo chuo uwa anakosa company(na wakati Ana marafiki kibao)……..siku moja akaniuliza nipo wapi,nikamjibu nipo home,akaniambia hostel amekosa company hivyo anaomba aje anisalimie home kwangu,basi nikamkaribisha……….akaja jioni sana maana ndo nilimwambia nitakuwa free

Alipofika akapika,tukala baadae akataka kuondoka usiku sana nikampa pesa ya bolt,Ila akagoma kuondoka eti ninamfukuza na wakati angependa kukaa nami,Duuh nikamwambia basi karibu tulale………kufupisha Yule dem nilimchapa sana miti usiku ule na akanogewa ikawa Kama mchezo wetu

Akawa ananiambia tuwe wapenzi me nikamwambia haiwezekani coz sikutaka ku-date na mwanachuo coz uwa sipendi mahusiano ya kitoto mimi………baadae alikuja kunambia kuna jamaa ake wameanza kudate kitambo Kama 1 year ni mtu wa system uwa anamgharamia kila kitu hivyo weekend nisiwe namtafuta nikamwambia Sawa na mimi uwa simtafuti mpaka anitafute mwenyewe

Last month Kanasa mimba na akaniambia ni yangu Ila ananiomba nimsamehe huyo mtoto kwani anataka ampe mtu wa gavoo,nikamwambia fresh………nilikuja nikamwambia tuvunje haya mahusiano coz sioni future yetu Kama itakuwa nzuri,manzi hakuamini mpaka nilipompiga block ndo akili ikamkaa

Vijana tuweni makini hakuna sifa ya kulomba sana kwa mwanamke usiyekuwa na malengo nae kwani unamfaidisha mke au mume wa mwenzio
 
Aisee kumbe mzeya ukanyunyuzia na mbegu kabisa....safi sana.
Hakunaga mbususu yako peke yako
 
What with the third person mkuu?Si useme huyo Jamaa ni wewe na ulitobewa..FYI Kila mtu anatobewa nowdays.
 
Yes.
Huyo jamaa tulikuja kufumaniwa nae kwenye gari...sio kufumaniwa ile tunafanya mamboz, ni ile tu mtu wangu alitukuta ndo ananishusha kituoni.
Ikatokea vurugu jamaa akapigwa, gari yake ikavunjwa vunjwa vioo..kesi hadi polisi.
Kesho yake mie nikamtafuta jamaa kumpa pole na kumpatia hela ya matibabu😅😅. Tukastop kwa muda baadae tukaendeleza kama kawa.
😀😀 Haya ndo mapenzi sasa.
 
Nishakula mtu na best yake.. Maswahiba haswa kama mtu na mdogo wake vile.. Nilianza na mkubwa, mdogo akaleta shobo nikapita nae.

Kuna manzi nilikuwa naifukuzia kwenye group ya whatsapp niliungwa na washikaji zangu...
Nikaifukuzia ikajaa, lakini nikawa na mashaka jamaa yangu huenda ni mali yake, manzi ikanikubalia siku ikaja geto, stori nyingi, nikaiambia fulani anakubwenga akaniambia alikuwa anambwenga, kidogo mwamba kapiga simu manzi akapokea wakaongea jamaa analalamikia binti kabadilika, simu kukatwa nikataka kumtimua binti, chozi hili hapa, nikaona isiwe tabu, nikaCHOVYA, tukawa wapenzi haswaaaa.

Mwanamke aliyenizalia mie mtoto wangu wa kwanza kabisa, alikuwa ni demu wa mshikaji wangu school na mimi ndio nilihusika zaidi kumtongozea jamaa, kumbe manzi ananikubali kiaina, miaka imekatika, akiwa bado na mshikaji, akaja dar, stori nyingi, nikaenda kumtembelea alipofikia ngoma night hii hapa, akaenda chumbani mie nikaangusha sebuleni, usiku mtu ananishitua tukalale chumbani, mimi nani nibishe, chumbani ikawa CHUMBANI kaifinyia kwa NDANI, mwanzo wa penzi, akambwaga mchizi, mimba juu na mtoto tukapata.

Nishakula mdogo mtu, ambapo dada yake tulikuwa na mahusiano lakini sikumkula, mdogo mtu akajileta NIKAFYEMBA.

Hiki kipande cha ngoma ya harmonize huwa nakumbuka mbali saana "Ujana una mengi n mengi nimefanya, sjwezi danganya nishamaliza."
Sasa nimekuwa nishaachaga ufirauni woote, kila nikikumbuka ya zamani namshukuru mungu kuchoropoka salama.
Ulitisha Sana mzee baba😂
 
Back
Top Bottom