Umewahi kula/kuliwa mtu wa rafiki yako wa karibu sana, tupe uzoefu

Me kuna manzi nipo nayo chuo,course moja kabsa,rangi flani ya chocolate,macho yake mashaallah………..pisi kweli kweli😋😋Ila ilianza kunishobokea sana

Me ni mtu ambae uwa naenda chuo mpaka kuwe kuna sababu maalum ya kunipeleka chuo,otherwise sitokwenda coz uwa nipo busy sana na mambo ya mengine ya kusaka pesa(Dar kunahitaji uchakarike hasa)

Basi,akawa ananiulizia kwanini sitokei Chuo Mara kwa mara,mara nisipokuwepo chuo uwa anakosa company(na wakati Ana marafiki kibao)……..siku moja akaniuliza nipo wapi,nikamjibu nipo home,akaniambia hostel amekosa company hivyo anaomba aje anisalimie home kwangu,basi nikamkaribisha……….akaja jioni sana maana ndo nilimwambia nitakuwa free

Alipofika akapika,tukala baadae akataka kuondoka usiku sana nikampa pesa ya bolt,Ila akagoma kuondoka eti ninamfukuza na wakati angependa kukaa nami,Duuh nikamwambia basi karibu tulale………kufupisha Yule dem nilimchapa sana miti usiku ule na akanogewa ikawa Kama mchezo wetu

Akawa ananiambia tuwe wapenzi me nikamwambia haiwezekani coz sikutaka ku-date na mwanachuo coz uwa sipendi mahusiano ya kitoto mimi………baadae alikuja kunambia kuna jamaa ake wameanza kudate kitambo Kama 1 year ni mtu wa system uwa anamgharamia kila kitu hivyo weekend nisiwe namtafuta nikamwambia Sawa na mimi uwa simtafuti mpaka anitafute mwenyewe

Last month Kanasa mimba na akaniambia ni yangu Ila ananiomba nimsamehe huyo mtoto kwani anataka ampe mtu wa gavoo,nikamwambia fresh………nilikuja nikamwambia tuvunje haya mahusiano coz sioni future yetu Kama itakuwa nzuri,manzi hakuamini mpaka nilipompiga block ndo akili ikamkaa

Vijana tuweni makini hakuna sifa ya kulomba sana kwa mwanamke usiyekuwa na malengo nae kwani unamfaidisha mke au mume wa mwenzio
 
Aisee kumbe mzeya ukanyunyuzia na mbegu kabisa....safi sana.
Hakunaga mbususu yako peke yako
 
What with the third person mkuu?Si useme huyo Jamaa ni wewe na ulitobewa..FYI Kila mtu anatobewa nowdays.
 
😀😀 Haya ndo mapenzi sasa.
 
Ulitisha Sana mzee baba😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…