Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

Alivyovua tu "k" ikaanza kutema!! Hapo hapo mzee saidi kainamisha kichwa chini akasema hiki chakula sili! πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€! Namimi nikasema isiwe shida twende zetu ili hali nimeishagharamika saana!
ukahisi unakatisha feri ya magogono dah, pole sana aise, saa zinngine ni kuvumilia tu πŸ’
 
Title na comments sasa. Kuna comments zinahitaji kupewa SUP,, kilichoulizwa na kinachojibiwa ni tofauti.
nadhani hii ni ishara kwamba watu wana shuhuda mbalimbali nyingi mno za faragha hawana pa kuzitolea na ndio maana iko kama ilivyo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…