Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Sijawahi kunyimwa ila siku zote huwa napewa naichapa As if nimeiona na ndio naila kwa mara ya mwisho.Unyumba au tendo la ndoa ni kitu cha ajabu sana, unaweza ukapewa sababu kama kudanganywa hivi ili utulie tu, na mwingine akakupa sababu ya kuumwa au kuchoka ukamuelewa sana tu. ila makusudi tu akaamua kukutolea nje huyo ni demu wako, mkewako au awara.
ULIFANYAJE BAADA YA KUNYIMWA
UTARUDI TU KUOMBASimwombi tena.
wewe ukinyimwa si utapigana sana maana amekuzoesha ukivuta mguu unavutika etiSijawahi kunyimwa ila siku zote huwa napewa naichapa As if nimeiona na ndio naila kwa mara ya mwisho.
Mkuu wewe huwa unafanya nini ukinyimwa?wewe ukinyimwa si utapigana sana maana amekuzoesha ukivuta mguu unavutika eti
Sinaga maneno akikataa basi nageuka usingizi unaendelea kama kawa halafu asubuhi aniombe hela ya nn sijui nampa tuMkuu wewe huwa unafanya nini ukinyimwa?
Hawezi kwa sababu anajua shughuli yangu akiringa tu kaisha natoka naenda kutafuta chuma nyingine mi na yeye kuonana tena keshoowewe ukinyimwa si utapigana sana maana amekuzoesha ukivuta mguu unavutika eti
Mkumbuke kuoga na kusafisha meno kabla hamjapanda kitandani, mnaamka na matapu tapu ya pombe ya mnazi mnataka mpewe huku udenda umefika sikioni.Sinaga maneno akikataa basi nageuka usingizi unaendelea kama kawa halafu asubuhi aniombe hela ya nn sijui nampa tu
Mwanaume au mwanamke asiyeoga na kuswaki kabla ya kulala asipewe unyumba/ tendo la ndoa wapeni makavu mtaumia hadi lini, msikae kimya hata kama huna mke au mume lazima mtu aoge kabla ya kulala huo ndio usafiMkumbuke kuoga na kuaafisha meno kabla hamjapanda kitandani, mnaamka na matapu tapu ya pombe ya mnazi mnataka mpewe huku udenda unefika sikioni.
Ataogaje na wakati ametolewa baa mteja wa mwisho kwakua wanafunga. Safari nzima mpaka nyumbani alikuwa mfalme wa barabara kulia mpaka kushoto. Hapo amenities kitandani kama mzoga halafu anadai haki ya mahari yake mweMwanaume au mwanamke asiyeoga na kuswaki kabla ya kulala asipewe unyumba/ tendo la ndoa wapeni makavu mtaumia hadi lini, msikae kimya hata kama huna mke au mume lazima mtu aoge kabla ya kulala huo ndio usafi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Ulikuwa ugomvi watu wakaamka
mama mwenye nyumba akagonga ile kufungua mwanaume akatoka yule mama mwenye nyumba alivyouliza tatizo nini
jamaa akaonesha boxer iliyovimba akasema hii ndio tatizo
Wapangaji wengine tukaenda kulala ugomvi hauamuliki
kwani anayempokea nyumbani anakuwa hawezi kumuandalia maji ya kuoga akamlazimisha kwenda bafuni lazima akubali tuAtaogaje na wakati ametolewa baa mteja wa mwisho kwakua wanafunga. Safari nzima mpaka nyumbani alikuwa mfalme wa barabara kulia mpaka kushoto. Hapo amenities kitandani kama mzoga halafu anadai haki ya mahari yake mwe
chepuka uone kama hutapigwa na kushtakiwa kwenuAisee akininyima simuombi alafu nachepukaa...[emoji23][emoji23]