Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Hivi vituko ndiyo vinanifanya nisihame KwamtogoleUlikuwa ugomvi watu wakaamka
mama mwenye nyumba akagonga ile kufungua mwanaume akatoka yule mama mwenye nyumba alivyouliza tatizo nini
jamaa akaonesha boxer iliyovimba akasema hii ndio tatizo
Wapangaji wengine tukaenda kulala ugomvi hauamuliki