Demu anatongozwa kwa kumfuatilia mienendo yake ya kimaisha anaishije nn anafanya.....nn ...dressing code inshort vingi unaangaliaKabla hujamchagua kuwa demu wako, nini kinakusukuma hadi umtongoze? Hiyo akili unaipimaje?
Demu anatongozwa kwa kumfuatilia mienendo yake ya kimaisha anaishije nn anafanya.....nn ...dressing code inshort vingi unaangaliaKabla hujamchagua kuwa demu wako, nini kinakusukuma hadi umtongoze? Hiyo akili unaipimaje?
Hivyo 'vitu vingi' ndo hisia zenyewe. Kwa kifupi huwezi kuoa mtu ambaye huna hisia naye kisa eti ana akili.Demu anatongozwa kwa kumfuatilia mienendo yake ya kimaisha anaishije nn anafanya.....nn ...dressing code inshort vingi unaangalia
Elewa hisia zisizidi akili na ndio maana wengi wanasumbuliwa na mahusiano sababu duniani akili inatakiwa iwe active kuliko chochote kileHivyo 'vitu vingi' ndo hisia zenyewe. Kwa kifupi huwezi kuoa mtu ambaye huna hisia naye kisa eti ana akili.
Kinachoongelewa ni akili ya muoaji au muolewaji?Tusitangulize HISIA bali tushirikishe na AKILI pia katika kufanya maamuzi.
😂😂Sasa kifuatacho atasikia huko nje kijiji kinamimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwingine anawezakua hana mtu ila anakukomoa tu ndio furaha yakeKunyimwa tendo la ndoa bila sababu ya msingi jua hapo unagongewa nje na njemba nyingine.
Tafuta suluhu haraka kabla mbwai haijawa mbwai.
Hebu tusaidie. Wakati wa uchumba utaipimaje akili?Watu wengi wahawajui maana ya ndoa
Ukitumia hisia kuoa kadri unavokuwa hisia na uwezo wa kusex hupungua mara kwa mara
Mwisho utamuona mwenza wako hana cha kukuoffer
Ila ukioa kwa kigezo cha akili smart hutomjutia uliyemuoa
Inshort HISIA ni temporary na AKILI ni permanent
Kwasabb hakupendiMwingine anawezakua hana mtu ila anakukomoa tu ndio furaha yake
Kwahiyo unataka likae kifuani kwako lisaa lizima wakati halijaswaki? Ukimoenda mtu hutaona kinyaa hata akikunyea kitandaniInategemea na utakaji wako huo unyumba, unakuta limtu limeamka asubuhi jana lililewa asubuhi hajaswaki anaforce romance na likipewa dakika 2 linatetemeka km kuku mwenye kideri
Point. Na kila mtu aisomeUnaanzaje kuomba unyumba? Unasema naomba unyumba au?
Tatizo mnaoa watu wasiowapenda mwisho wa siku mnachokana mapema.
TimuaWanawake akili zao wanazijua...anaweza asiwe anampa mtu yoyote...na still ukatoka bilabila
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hela ya matumizi haipaswi kuwa mbadala wa sex.Hutoi hela ya matumizi yake binafsi,au