Umewahi kunyimwa unyumba au tendo la ndoa? Ulifanyaje?

Umewahi kunyimwa unyumba au tendo la ndoa? Ulifanyaje?

Huyo mkeo alifundwa na nani kabla ya kumuoa? Akikunyima unyumba bila sababu yoyote una haki ya kumrudisha kwao wakamfunde. Mpigie simu shangazi yake au mama yake uwaambie namrudisha ili mumufunde.
Hivi hii iko pande zote ,mke naye akikosa ampigie mjomba wa mmewe kuwa buana huyu simwelewi ni kula kulala au ni kwa mwanamke tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba Elimu kidogo ukinyimwa unyumba huwa mnafanya nn ??Hakuna ugomvi na mm ni mzima wa afya kabisa show nipo poa kabisa tatizo kubwa huwa ni nn haswa
Ukinyimwa zaidi ya mara tatu hakuna hisia tena hapo ni kujiongeza tuu
 
Hivi hii iko pande zote ,mke naye akikosa ampigie mjomba wa mmewe kuwa buana huyu simwelewi ni kula kulala au ni kwa mwanamke tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke akikosa hana haja ya kupiga simu kwa yeyote. Yeye anaingia jikoni na kuanza kupangilia diet ya mumewe, kama vile supu supu, karanga na mayai. Halafu naye anajiweka safi safi, mbona dozi atapata mpaka aombe poo!
 
Ni kwamba ameshakukariri kua hua unaanza kuchezea shingo, kifua, masikio, kitovu, unamnyonya. Halafu game linaanza.

So spark imekufa. Communication is key na ndiyo itawatoa hapo mlipo
 
Ndio wa kimaisha mpe demu wako laki au hata 50k halafu angalia atakachonunua
Hiyo 50K chukua mademu wawili wakali sinza kila mmoja mpe 10,000 na hiyo 30,000 iliyobaki kalipie chumba piga threesome rudi nyumbani mwepesi hautojutia. Huyo mkeo waachie wakulungwa waendelee naye siku akichokwa huko ataanza kukupa papuchi yake mwenyewe bila hata kumuomba.
 
Habari ndugu zangu..

Katika safari ya maisha kuna siku inatokea una hamu sana ya kukutana kimwili na mpenzi wako ila kwa makusudi tu mwenza wako anaamua kukubania utamu.

Je, ulichukua hatua gani kushusha mzuka baada ya kunyimwa tendo na mpenzi wako?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nyeto ndio inakuwaga mkombozi kwenye ishu Kama hizi.

Shikamoo🤝 Nyeto.
 
Mwanaume unaanzaje kunyimwa bila sababu za msingi, hiyo ni bonge ya dharau ambayo mwanamke hawezi nifanyia na ikitokea ina maana huyo alienifanyia hivo sio mpenzi wangu tena
 
Mwanaume unaanzaje kunyimwa bila sababu za msingi, hiyo ni bonge ya dharau ambayo mwanamke hawezi nifanyia na ikitokea ina maana huyo alienifanyia hivo sio mpenzi wangu tena
Shukuru Mungu unae ambae anijielewa.
Unanyimwa tu hata ukiwa baunsa la sivyo ubake
 
Mwanaume unaanzaje kunyimwa bila sababu za msingi, hiyo ni bonge ya dharau ambayo mwanamke hawezi nifanyia na ikitokea ina maana huyo alienifanyia hivo sio mpenzi wangu tena
Mwanamke anakunyima tuu, haijalishi wewe ni mwanaume kivipi. Akiamua kwa hisia zake tunda hauli hakika.

Kama umepata anaekuvulia kila ukitaka shukuru sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Aloooooooo.
kumbe kuna kunyimana utamu.
sikuwahi kujua ila kama dini yako inaruhusu unaoa mke zaidi ya mmoja ili huyu akikunyima utamu unaenda kwa huyu na hapo unakuwa na total solution.
ila kama dini hairuhusu unaweza piga nyetto kama wewe ni muumini mzuri wa nyetto na ikiwa hupigi nyetto basi unaweza kuangalia hata vi side chicks.
 
Utamu unanyimwa tuu kirahisi mbona

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Siku za mwanzo nilikuwa napiga nyeto ila mwisho wa siku nikaona ni ufala.nikamtafutia kamanzi kengine ka pembeni na nikakapanga kabisa kuwa mm ni wife kwaiyo tukapeana code ya kuwa tunachekiana.hadi leo wife kajirudi ila mm ndio nishanogewa tyr na kumiacha siwezi.sio kosa langu
 
Back
Top Bottom