paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 592
Kwaiyo hapo kuna mwamba anabutua siyoUnapewa sababu gani ya kunyimwa tuanzie hapo kwanza.
Kama hakuna la maana unaloambiwa basi ujue kuna mwamba anapewa nje huko. Sasa hapo jiongeze uendelee kuomba na kunyimwa au ukatafute kwingine.