Umewahi kunyimwa unyumba au tendo la ndoa? Ulifanyaje?

Ulikuwa ugomvi watu wakaamka
mama mwenye nyumba akagonga ile kufungua mwanaume akatoka yule mama mwenye nyumba alivyouliza tatizo nini

jamaa akaonesha boxer iliyovimba akasema hii ndio tatizo

Wapangaji wengine tukaenda kulala ugomvi hauamuliki
Hivi vituko ndiyo vinanifanya nisihame Kwamtogole
 
Kuna wanaume au wanawake huwa mkigeukiana wanatoa harufu mbaya na kali sana yani mkipumuliana harufu inakukatisha tamaa hata ya kuwa na hamu ya tendo. ebu nione inbox nikuelekeze kama ww ni muhanga au kuna ndugu yako
 
kwani anayempokea nyumbani anakuwa hawezi kumuandalia maji ya kuoga akamlazimisha kwenda bafuni lazima akubali tu
Acha tu mapaa yanaficha mengi. Akianguka bafuni ndugu zake watasema umewaulia ndugu yao.
 
Hivi mnanyimwaje?kunyimwa ni neno nilikwishaliondoa kwenye orodha ya misamiati kichani mwangu
 
Mkumbuke kuoga na kusafisha meno kabla hamjapanda kitandani, mnaamka na matapu tapu ya pombe ya mnazi mnataka mpewe huku udenda umefika sikioni.
hahahahahsha nimecheka sana!.
 
Akininyima huwa naugua gafla na yeye anajua,mpaka anipe ili nipate nafuu
 
Ulikuwa ugomvi watu wakaamka
mama mwenye nyumba akagonga ile kufungua mwanaume akatoka yule mama mwenye nyumba alivyouliza tatizo nini

jamaa akaonesha boxer iliyovimba akasema hii ndio tatizo

Wapangaji wengine tukaenda kulala ugomvi hauamuliki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aki my ribs hahahahahhaaaa
 
Mtoa mada umenyimwa uroda nini,Kwahyo umekuja hapa kutuuliza huwa tunafanyaje tunaponyimwa ili uitumie na wewe
 
Hana jerui yakuninyima Ila Siku ikitokea ntajiuliza nini kimetokea kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…