paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 592
Kwaiyo hapo kuna mwamba anabutua siyoUnapewa sababu gani ya kunyimwa tuanzie hapo kwanza.
Kama hakuna la maana unaloambiwa basi ujue kuna mwamba anapewa nje huko. Sasa hapo jiongeze uendelee kuomba na kunyimwa au ukatafute kwingine.
kisela kabisa.Kwaiyo hapo kuna mwamba anabutua siyo
Wanawake akili zao wanazijua...anaweza asiwe anampa mtu yoyote...na still ukatoka bilabilaUnapewa sababu gani ya kunyimwa tuanzie hapo kwanza.
Kama hakuna la maana unaloambiwa basi ujue kuna mwamba anapewa nje huko. Sasa hapo jiongeze uendelee kuomba na kunyimwa au ukatafute kwingine.
Watu wengi wahawajui maana ya ndoa
Ukitumia hisia kuoa kadri unavokuwa hisia na uwezo wa kusex hupungua mara kwa mara
Ila ukioa kwa kigezo cha akili smart hutomjutia uliyemuoa
Inshort HISIA ni temporary na AKILI ni permanent
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Wanawake akili zao wanazijua...anaweza asiwe anampa mtu yoyote...na still ukatoka bilabila
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa kifuatacho atasikia huko nje kijiji kinamimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kunyimwa tendo la ndoa bila sababu ya msingi jua hapo unagongewa nje na njemba nyingine.
Tafuta suluhu haraka kabla mbwai haijawa mbwai.
🙏🙏🙏mkuuHongera kwa point yako nzuri mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Mpe hela ya kusuka afu leta mrejesho
Huyo mkeo alifundwa na nani kabla ya kumuoa? Akikunyima unyumba bila sababu yoyote una haki ya kumrudisha kwao wakamfunde. Mpigie simu shangazi yake au mama yake uwaambie namrudisha ili mumufunde.Naomba Elimu kidogo ukinyimwa unyumba huwa mnafanya nn ??Hakuna ugomvi na mm ni mzima wa afya kabisa show nipo poa kabisa tatizo kubwa huwa ni nn haswa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kunyimwa tendo la ndoa bila sababu ya msingi jua hapo unagongewa nje na njemba nyingine.
Tafuta suluhu haraka kabla mbwai haijawa mbwai.
Eti unaoa akili, hiyo akili unaipimaje? Unampa mtihani?Watu wengi wahawajui maana ya ndoa
Ukitumia hisia kuoa kadri unavokuwa hisia na uwezo wa kusex hupungua mara kwa mara
Mwisho utamuona mweza hata cha kukuoffer
Ila ukioa kwa kigezo cha akili smart hutomjutia uliyemuoa
Inshort HISIA ni temporary na AKILI ni permanent
Ndio wa kimaisha mpe demu wako laki au hata 50k halafu angalia atakachonunuaEti unaoa akili, hiyo akili unaipimaje? Unampa mtihani?
Kabla hujamchagua kuwa demu wako, nini kinakusukuma hadi umtongoze? Hiyo akili unaipimaje?Ndio wa kimaisha mpe demu wako laki au hata 50k halafu angalia atakachonunua