Hivi hii iko pande zote ,mke naye akikosa ampigie mjomba wa mmewe kuwa buana huyu simwelewi ni kula kulala au ni kwa mwanamke tuu?Huyo mkeo alifundwa na nani kabla ya kumuoa? Akikunyima unyumba bila sababu yoyote una haki ya kumrudisha kwao wakamfunde. Mpigie simu shangazi yake au mama yake uwaambie namrudisha ili mumufunde.
Ukinyimwa zaidi ya mara tatu hakuna hisia tena hapo ni kujiongeza tuuNaomba Elimu kidogo ukinyimwa unyumba huwa mnafanya nn ??Hakuna ugomvi na mm ni mzima wa afya kabisa show nipo poa kabisa tatizo kubwa huwa ni nn haswa
Mke akikosa hana haja ya kupiga simu kwa yeyote. Yeye anaingia jikoni na kuanza kupangilia diet ya mumewe, kama vile supu supu, karanga na mayai. Halafu naye anajiweka safi safi, mbona dozi atapata mpaka aombe poo!Hivi hii iko pande zote ,mke naye akikosa ampigie mjomba wa mmewe kuwa buana huyu simwelewi ni kula kulala au ni kwa mwanamke tuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si matendo na mtazamo wa mtuHebu tusaidie. Wakati wa uchumba utaipimaje akili?
Polee kwa changamoto unayopitiaInategemea na utakaji wako huo unyumba, unakuta limtu limeamka asubuhi jana lililewa asubuhi hajaswaki anaforce romance na likipewa dakika 2 linatetemeka km kuku mwenye kideri
Hiyo 50K chukua mademu wawili wakali sinza kila mmoja mpe 10,000 na hiyo 30,000 iliyobaki kalipie chumba piga threesome rudi nyumbani mwepesi hautojutia. Huyo mkeo waachie wakulungwa waendelee naye siku akichokwa huko ataanza kukupa papuchi yake mwenyewe bila hata kumuomba.Ndio wa kimaisha mpe demu wako laki au hata 50k halafu angalia atakachonunua
Shukuru Mungu unae ambae anijielewa.Mwanaume unaanzaje kunyimwa bila sababu za msingi, hiyo ni bonge ya dharau ambayo mwanamke hawezi nifanyia na ikitokea ina maana huyo alienifanyia hivo sio mpenzi wangu tena
Mwanamke anakunyima tuu, haijalishi wewe ni mwanaume kivipi. Akiamua kwa hisia zake tunda hauli hakika.Mwanaume unaanzaje kunyimwa bila sababu za msingi, hiyo ni bonge ya dharau ambayo mwanamke hawezi nifanyia na ikitokea ina maana huyo alienifanyia hivo sio mpenzi wangu tena
Utamu unanyimwa tuu kirahisi mbonaAloooooooo.
kumbe kuna kunyimana utamu.
sikuwahi kujua ila kama dini yako inaruhusu unaoa mke zaidi ya mmoja ili huyu akikunyima utamu unaenda kwa huyu na hapo unakuwa na total solution.
ila kama dini hairuhusu unaweza piga nyetto kama wewe ni muumini mzuri wa nyetto na ikiwa hupigi nyetto basi unaweza kuangalia hata vi side chicks.