Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

Alinambia anatoka chuo sa 12 anaenda hostel kulala ataamka saa moja kasoro, tukakubaliana huo muda ntaenda kumchukua tukale then aje kulala geto.

muda ulipokaribia nikafika nyuma ya hostel zao kuna kama ukuta upo nusu couple zimesimama kwenye kigiza as usual maana zile ni hostel za madem wahuni wapo kazini, napiga simu haipokelewi sms hazijibiwi nikajipa moyo huyu atakua amelala, saa mbili ikakatika sim hazijibiwi, saa tatu ikafika naona kuna couple niliikuta nikawapita nikaenda kukaa pembeni yao ndo wanaondoka hilo eneo naona lile si tako la M😮😮, wanafika kwenye mwanga kumbe niliedhani amelala yupo pembeni yangu na bwana ake tokea nimefika, sikutaka kusogea maana hata kupigana sijui japokua mwamba nilikua nammudu kwa kumuangalia, wakaachana pale,
yule mtoto akawa anarud hostel huku namungalia akatoa sim mfukoni anapiga mara text za nilikua nimelala nakuja sahv, sikupokea simu wala kujibu sms mpaka leo japokua njiani tulikua tunakutana na tunapeana hai za juu juu kila mtu anasepa zake
 
Enzi sijaoa
Niliwahi pigwa tukio na mwanachuo mmoja. tulikutana kimtaa, tukazoeana na Ela ndogo ndogo nikawa namsaidia bila papara ya kumchakata maana alivotulia niliplan nimuoe kabisa, sikutaka kuonekana fisi.

Baada ya wiki 2,
Akanambia anagraduation anaomba zawadi, nikamwambia usiwe na wasi.
nikamfanyia shopping na Ela za maandaliz nikampatia.

Siku ya graduation kidume nikambebea samsung Kali Sana(kwa miaka hiyo)
Nilipomkabidhi TU Ile Simu kama zawadi. graduu ikaisha na sikumpata kabisa tena kwny Simu.

Aliniblock baadae namba ikawa haipatikani kabisa na sikujua hata anakoishi wala rafk yake yoyote wa karibu MDA ule,baadae ndo niliskia alirudi mkoani na pale chuoni Alikua na mtu wake mwanachuo mwenzake ambae Alikua Ni mfanyakaz serikalini

Kiukweli Niliumia Sana,
sio kwasababu ya ile Simu au pesa nilizomgharamia, Bali tayar nilishamuweka moyoni na niliplan aje kua MKE wangu kwa jins nilivomthaminisha.

ila baadae maumivu yaliisha na nikasahau[emoji4]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole ndugu yangu
 
Kwahiyo hakukumwambia sababu ya kumpotezea ni nini?? Au alijua alichokosea?
 
Inauma sana, I can imagine
 
mkuu hujawahi kumuona mpaka leo?
 
Wanawake wamikoani wakija mjini wanajifanya watoto wa mjini kumbe washamba sana na walimbukeni sana inaonekana hakuwa kumiliki simu nzuri na wanachanganyikiwa na vitu vidogo vidogo kama Tv, simu , magari yani wakikutana na hivyo vitu wachanganyikiwa. Kama huyo simu tu imemfanya akublock wakati ulimsaidia vitu vingi tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
La muhimu na wewe ulito.mba
 
Nilikopa pesa Benki ili nimpe aongezee kwenye biashara yake lakini mwisho wa siku hata miezi mitatu haikupita tukaachana na million 3 zilienda na maji ya katerero
 
Una moyo
 
Hiyo ya kwanza [emoji22][emoji22][emoji22]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]Ukageuka mlinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…