Najisikia fresh tu, yaani ni ile kila mtu a play party yake....wanaume wenyewe nyie mko wachache halafu nikae single ili iweje
Kwa nini unataka kulazimisha dhambi yako kila mtu anayo?Kuna watu watajifanya watakatifu katika Hili..na kudai kwamba hawajawahi kushiriki hiyo dhambi...wabongo kwa unafiki tunastahiki Tuzo ya Grammy
Kuna watu watajifanya watakatifu katika Hili..na kudai kwamba hawajawahi kushiriki hiyo dhambi...wabongo kwa unafiki tunastahiki Tuzo ya Grammy
Hata mimi namshangaa!Kwa nini unataka kulazimisha dhambi yako kila mtu anayo?
This is JF....mambo ya humu usiyachukulie serious, shauri yako ππMkuu unafikiri wote wako kama wewe!, kama wewe ulishafanya hiyo dhambi usidhani ni wanaume wote wanafanya hayo!
Kila mtu anaishi hum vile alivyoamua, kuna watu maisha yao ya humu ni tofauti na nje na wengine miandiko yao ya humu ndio maisha yao halisiThis is JF....mambo ya humu usiyachukulie serious, shauri yako [emoji23][emoji23]
Mkuu ni kweli ila mimi na akili zangu naelewa vizuri mno lakini kunawengine hawachuji mambo, mwingine anaweza katoka hapa akaenda kufanya kweli (akafikiri kucheat ni haki ya mwanaume). Kumbe sisi tumempotezaThis is JF....mambo ya humu usiyachukulie serious, shauri yako ππ