bongonyoo
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 604
- 889
Tunasaidiana kulea tu,maana hata yy anaishi na mtt wangu akijua ni wake ila namhudumia mtt wangu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wewe Unajiona Mshindi, nyuma ya panzia Jamaa nae anajiona amekuweza Kumbe yule Mtoto wa Mkeo ni Mtoto wake !
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app