Umewahi 'kushare' na mke au mume wa mtu, unajisikiaje ukikutana na mumewe au mkewe?

Kila mtu anaishi hum vile alivyoamua, kuna watu maisha yao ya humu ni tofauti na nje na wengine miandiko yao ya humu ndio maisha yao halisi

Nakubaliana na wewe 100%. Wengine wanayaleta hapa waone jinsi gani wengine watakavyojichanganya vibaya na wengine wanayaleta hapa kupima upepo.
 
Niwapime kwani mm dr. Tunaenda kupimana huko huko
Hawa wake za watu huwa mnawapima kwanza? Hivi mume awe na ngoma amempa mke wake na wewe unaipata unampa girl friend. Pharmaceutical companies will never run out of business.
 
Mkuu ni kweli ila mimi na akili zangu naelewa vizuri mno lakini kunawengine hawachuji mambo, mwingine anaweza katoka hapa akaenda kufanya kweli (akafikiri kucheat ni haki ya mwanaume). Kumbe sisi tumempoteza
Za kuambiwa changanya na zako...
 
Najisikia fresh tu, yaani ni ile kila mtu a play party yake....wanaume wenyewe nyie mko wachache halafu nikae single ili iweje
Ukweli utakuweka huru ,ni vizuri umesmea ukweli bila kukwepesha tho ni dhambi kubwa sana
 
Mie nakula mke wa askari mmoja hapa jirani na hata nikikutana na jamaa huwa namswalimia kama kawaida na siumii rohoni maana nikifikiria askari wanavyotumika kisiasa acha tu nasi tuwe tunapunguzia hasira kwa wake zao
 
Kwenye maandiko katika kitabu kitakatifu kimesema Ndoa na iheshimiwe na watu wote, sasa nyie wala vitu vya watu angalieni anguko.
 
Sijawahi kulala na mke wa mtu lakini imewahi kuwa ALMOST hahahaa. Huyo dada alinitongoza na mimi nilikua mgeni maeneo hayo so sikuwa najua chochote halafu alikua anasoma chuo. Sasa siku kama siku mbili mbele tangu anitamkia ananipenda nikataka kwenda kumla so alivyotoka chuo akanipitia sehemu nikamsindikiza akaniambia akitoka vipindi vya jioni atakuja kunipa game. Kumbe njia tuliopita bana mumewe alikuwepo akatuona sasa ile nimeachana na yule dada narudi mwenyewe nikastukia nimevamiwa hahahaha akaniambia naomba nikufahamu nikamuuliza ili iweje??

Akajitambulisha anaitwa fulani nikamwambia go on akaniuliza huyo dada uliekuwa nae ni nani yako nikamwambia simjui mimi hatuna uhusiano wowote kaomba tu nimsindikize akaniambia huyo ni mke wangu nusu nizimieee [emoji4][emoji4] yaliyoendelea siri yangu. Sema nikampotezea yule Dada akalia sana kwamba hampendi jamaa anamnyanyasa anampiga sana kwahiyo ananipenda mimi nikamwambia mimi nasoma chuo huku Nimekuja kutembea huwezi kuharibu ndoa yako kwa sababu yangu sina future yoyote hapa bado.

Kufupisha story yule dada alitoroka akaenda kusikojulikana ingawa aliniambia kama simtaki poa yeye atatoroka la kuchekesha jamaa akanitafuta eti mke wangu katoroka nampigia simu hapokei hebu mpigie wewe, nikamuuliza mimi kama nani yake mpaka apokee simu?? Sijawahi hata kula denda. Mpaka naondoka huo mkoa huyo dada hakuwa amerudi kwa mumewe.
 
Wanawake siku hizi wanatongoza ni mabadiliko ya nini
 
Kula mke au kutembea na mume wa mtu ni dhulma na dhulma ni dhambi anyways.

Nawashangaa watu watakaoshabikia japo wengi wetu hii huwa mitihani migumu sana ku deal nayo.

Sijiviki utakatifu ila kimsimgi sijawahi kutembea na mke wa mtu na wala hilo silifikirii. Ni sawa na nilivyoweka nadhiri ya kutotembea na mwanafunzi.
Baharia anakuwa na principles bana kama hivi safi
 
Najisikia fresh tu, yaani ni ile kila mtu a play party yake....wanaume wenyewe nyie mko wachache halafu nikae single ili iweje
Wanaume wako wachache inategemea na age group yako kama uko above 50 years wako wachache
 
Hakuna mzee, kama unataka ujue kuwa mtu anachoandika au kukisema ni uhalisia wake kabisa [emoji817] %, nenda kasome kitabu kinaitwa secret kimeelezea law of attraction kwa undani, thoughts become things... So hakunaga cha nje ya JF au ndani
 
Unaweza shangaa kila ukimuona jamaa unamuona kama KY hivi halafu unashangaa ndogo inashangilia
 
Unataka kuanza kuleta league tena mkuu...aliyeandika kitabu pia nimtu kama wewe ' licha ya elimu aliyo nayo ana mapungufu yake pia ' so haimaanishi kwamba yupo sahihi kwa kila mtazamo atakao utoa
Hakuna mzee, kama unataka ujue kuwa mtu anachoandika au kukisema ni uhalisia wake kabisa [emoji817] %, nenda kasome kitabu kinaitwa secret kimeelezea law of attraction kwa undani, thoughts become things... So hakunaga cha nje ya JF au ndani
 
Najisikia fresh tu, yaani ni ile kila mtu a play party yake....wanaume wenyewe nyie mko wachache halafu nikae single ili iweje
Na mnatuamini sana waume za watu, yaani nyie mabinti ni habari nyingine aisee. Unajua kabisa nina mke lakini hata huna wasiwasi nikizama bila ndom.
 
Back
Top Bottom