BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,992
Dhambi ipi ni ndogo!?Ukweli utakuweka huru ,ni vizuri umesmea ukweli bila kukwepesha tho ni dhambi kubwa sana
Dhambi ipi ni ndogo!?Ukweli utakuweka huru ,ni vizuri umesmea ukweli bila kukwepesha tho ni dhambi kubwa sana
HIV will never end in africa. Naona wanafurahia kutoka na wanandoa wamesahau mtandao wa HIV upo sana kwa wanandoaHawa wake za watu huwa mnawapima kwanza? Hivi mume awe na ngoma amempa mke wake na wewe unaipata unampa girl friend. Pharmaceutical companies will never run out of business.
Karma will hunt you till death, na wadada wote hao mtaani unapataje ujasiri wa kutoka na mke wa mtu??Mie nakula mke wa askari mmoja hapa jirani na hata nikikutana na jamaa huwa namswalimia kama kawaida na siumii rohoni maana nikifikiria askari wanavyotumika kisiasa acha tu nasi tuwe tunapunguzia hasira kwa wake zao
Hata mwanafunzi aliemaliza form 6 mkuu..?Kula mke au kutembea na mume wa mtu ni dhulma na dhulma ni dhambi anyways.
Nawashangaa watu watakaoshabikia japo wengi wetu hii huwa mitihani migumu sana ku deal nayo.
Sijiviki utakatifu ila kimsimgi sijawahi kutembea na mke wa mtu na wala hilo silifikirii. Ni sawa na nilivyoweka nadhiri ya kutotembea na mwanafunzi.
Huyo ni mtu mzima mwenzangu...ntakula!Hata mwanafunzi aliemaliza form 6 mkuu..?
Duuuuuu! tatizo ni wao wanakutamani mpaka unafika mahali unapewa hela, tena si ya kitoto. hata unapangiwa nyumba, unatafutiwa kazi tena nzuri,Sijiviki utakatifu ila kimsimgi sijawahi kutembea na mke wa mtu na wala hilo silifikirii. Ni sawa na nilivyoweka nadhiri ya kutotembea na mwanafunzi.
Epuka kabisa kukutana naye, Wanawake ni wajinga anaweza kukuaminisha mmewe hajui kumbe anajua kila kitu, Sasa Mwisho Uje Uchinjwe bure!Kwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia.
Tatizo ninalolipata ni kwamba kila nikikutana na mumewe huwa najihisi kukosa amani na uhuru. Mimi sijafanya chochote na wala sio mimi niliyemtongoza mkewe.
Hebu nije kwenu ndugu zangu ambao mmewahi kufanya hivyo.
HIVI UNAJISIKIAJE HASA UNAPOKUTANA NA MWENYE MKE AU MWENYE MUME?
Bado una safar ndefu kijana..sema endelea kushukuruMimi sijawahi ila nilikaribia Nashukuru Mungu sijaharibu Rekodi yangu.
Umeona eeeh! halafu penzi la wizi wizi linanoga kinyama yani sijui kwanini?Tatizo ni watamu balaaa
We ni sawa na mtoto ambae hajawahi kula pilau ckukuu ya Id mubarakSijawahi kula mke wa mtu!
Hapo wewe Unajiona Mshindi, nyuma ya panzia Jamaa nae anajiona amekuweza Kumbe yule Mtoto wa Mkeo ni Mtoto wake !Mke wa besti yangu kanishobokea mwenyewe,nikamwita lodge nikamla tokea SAA kumi jioni hadi SAA moja usiku,,akatoka akaenda zake,,mume wake ni dereva wa bodaboda,ile na mm natika lodge nikakutana na mumewe barabarani akanipa lifti hadi hom,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia.
Tatizo ninalolipata ni kwamba kila nikikutana na mumewe huwa najihisi kukosa amani na uhuru. Mimi sijafanya chochote na wala sio mimi niliyemtongoza mkewe.
Hebu nije kwenu ndugu zangu ambao mmewahi kufanya hivyo.
HIVI UNAJISIKIAJE HASA UNAPOKUTANA NA MWENYE MKE AU MWENYE MUME?
Ukweli ni kwamba ni watamu balaaa sijui ni vile unakua unaibaWe ni sawa na mtoto ambae hajawahi kula pilau ckukuu ya Id mubarak
Sent using Jamii Forums mobile app