Umewahi 'kushare' na mke au mume wa mtu, unajisikiaje ukikutana na mumewe au mkewe?

Unataka kuanza kuleta league tena mkuu...aliyeandika kitabu pia nimtu kama wewe ' licha ya elimu aliyo nayo ana mapungufu yake pia ' so haimaanishi kwamba yupo sahihi kwa kila mtazamo atakao utoa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Ukitazama kiligi itakua ligi na utakua so subjective rather logical and reasoning but anyway tujikite kwenye mada, wewe umewala wake za watu wangapi
 
Na mnatuamini sana waume za watu, yaani nyie mabinti ni habari nyingine aisee. Unajua kabisa nina mke lakini hata huna wasiwasi nikizama bila ndom.
Haha hapo kwenye ndom inategemea ntu na ntu 😂😂😂😂
 
Aisee ....kwa mtu mwenye hekima sio masuala ya kujisifu...kwangu ngono sio sifa njema so siwezi kujibu swali lako....maybe umuulize mtoa post huwenda ikawa anajibu la swali lako
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Ukitazama kiligi itakua ligi na utakua so subjective rather logical and reasoning but anyway tujikite kwenye mada, wewe umewala wake za watu wangapi
 
Aisee ....kwa mtu mwenye hekima sio masuala ya kujisifu...kwangu ngono sio sifa njema so siwezi kujibu swali lako....maybe umuulize mtoa post huwenda ikawa anajibu la swali lako
Mimi sijawahi ila nilikaribia Nashukuru Mungu sijaharibu Rekodi yangu.
 
Never say never...as long as your still living... hilo jambo laweza kutokea katika maisha yako...ijapokuwa sikuombei hilo likufike
Mimi sijawahi ila nilikaribia Nashukuru Mungu sijaharibu Rekodi yangu.
 
Haha hapo kwenye ndom inategemea ntu na ntu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala haitegemei Depal , yaani huwa nawahurumia wakati mwingine ujuwe. Mnachoogopa ni mimba, hata hamuongelei ngoma, ndom tuamue sisi kuvaa. Badilikeni, waume za watu miaka hii wanachovya sana, tena wanachovya kwa under 25...
 
Daah! Sio wote bana, yaani uogope mimba afu uusahau ukimwi? Waume za watu wanapenda kuharibu vijana chipukizi sijui mko na matatizo gani, mnashindwa kudeal na magwiji ya 28+ huko
 
Binafsi sipendi watoto wadogo, utoto mwingi na hawana focus ya maisha. Kwa sasa aliye 30+ walau tutaendana. Ilà mjirekebishe, hata takwimu zinasema mnajiachia sana under 25 na mnapewa ngoma sana kwa sasa.
 
Mbona umeniingiza kwenye kundi la under 25? Mpendwa me niko 30+....hao wadogo zetu nyie ndio chanzo cha kuwarubuni, nyie mkitulia na ndoa zenu basi na wao watatulia na kurudi kwa age mates wao.
 
Mimi nilihama mtaa kabisa
Unapokuwa unatembea na mke wa mtu, ukikutana na mume wake tu. Nafsi yako inakuhukumu hata kabla ya kusemeshwa na mtu yeyote kuhusu suala hilo!

Inakuwa kama alarm ya moyoni inayokudai deni unalodaiwa.
 
Kula mke au kutembea na mume wa mtu ni dhulma na dhulma ni dhambi anyways.

Nawashangaa watu watakaoshabikia japo wengi wetu hii huwa mitihani migumu sana ku deal nayo.

Sijiviki utakatifu ila kimsimgi sijawahi kutembea na mke wa mtu na wala hilo silifikirii. Ni sawa na nilivyoweka nadhiri ya kutotembea na mwanafunzi.
Aah! we jamaa una roho ngumu kinoma dah! mwanafunzi chuchu imesimama bado mbichi kabisaaaa... then anajileta leta tuu... unamwachaje kwa mfano! mke wa mtu ana tako linaweweseka hlf ni wa ukweli unajilengesha unapata wapi ujasiri wa kumpotezea?

Hebu nidokeze kidogo unafanyaje fanyaje? kuepuka haya mambo
 
Hahaaa..nisaidie kustaajabu

Ndoa nyingi zinaumwa. Tiba yake inaweza kuwa ni kuchepuka kidogo. Watu wachepuke ili kutibu tu. Isiwe tabia.

Kutembea na mke au mume wa mtu itegemeane na mazingira. Kama ukifanya hivyo utakuwa unaiponya ndoa husika, basi fanya. Kama unaona ukifanya italeta uharibifu kwa ndoa iliyotulia, potezea.
 
Back
Top Bottom