Hapo wewe Unajiona Mshindi, nyuma ya panzia Jamaa nae anajiona amekuweza Kumbe yule Mtoto wa Mkeo ni Mtoto wake !
Sent using Jamii Forums mobile app
Big upTunasaidiana kulea tu,maana hata yy anaishi na mtt wangu akijua ni wake ila namhudumia mtt wangu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41] dah eti hali ya timu yake.Niliwahi kuwa na mahusiano na mke wa mtu ila siku moja nikaona kaweka mumewe kwenye status, WhatsApp. Huruma iliniijia sana maana yule msela kumbe ni shabiki wa Arsenal.
Niliona siku jamaa akijua mkewe anachepuka na hali ya timu yake anaweza kuwa kwenye hali mbaya sana.
HahahaKwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia.
Tatizo ninalolipata ni kwamba kila nikikutana na mumewe huwa najihisi kukosa amani na uhuru. Mimi sijafanya chochote na wala sio mimi niliyemtongoza mkewe.
Hebu nije kwenu ndugu zangu ambao mmewahi kufanya hivyo.
HIVI UNAJISIKIAJE HASA UNAPOKUTANA NA MWENYE MKE AU MWENYE MUME?
DuuhMimi wanawake wenyewe walikua wanajilengesha niliowaelewa niliwakula kama kawaidaa
Mpaka Leo wengi wananisumbua sema sasa nimeshajitambua.
HahahaSiwezi kusex na mume wa mtu never. Ila wakinitongoza sikatai, naongeza tu gharama kwenye familia yake.
HahahaMie nakula mke wa askari mmoja hapa jirani na hata nikikutana na jamaa huwa namswalimia kama kawaida na siumii rohoni maana nikifikiria askari wanavyotumika kisiasa acha tu nasi tuwe tunapunguzia hasira kwa wake zao
DuuhSijawahi kulala na mke wa mtu lakini imewahi kuwa ALMOST hahahaa. Huyo dada alinitongoza na mimi nilikua mgeni maeneo hayo so sikuwa najua chochote halafu alikua anasoma chuo. Sasa siku kama siku mbili mbele tangu anitamkia ananipenda nikataka kwenda kumla so alivyotoka chuo akanipitia sehemu nikamsindikiza akaniambia akitoka vipindi vya jioni atakuja kunipa game. Kumbe njia tuliopita bana mumewe alikuwepo akatuona sasa ile nimeachana na yule dada narudi mwenyewe nikastukia nimevamiwa hahahaha akaniambia naomba nikufahamu nikamuuliza ili iweje??
Akajitambulisha anaitwa fulani nikamwambia go on akaniuliza huyo dada uliekuwa nae ni nani yako nikamwambia simjui mimi hatuna uhusiano wowote kaomba tu nimsindikize akaniambia huyo ni mke wangu nusu nizimieee [emoji4][emoji4] yaliyoendelea siri yangu. Sema nikampotezea yule Dada akalia sana kwamba hampendi jamaa anamnyanyasa anampiga sana kwahiyo ananipenda mimi nikamwambia mimi nasoma chuo huku Nimekuja kutembea huwezi kuharibu ndoa yako kwa sababu yangu sina future yoyote hapa bado.
Kufupisha story yule dada alitoroka akaenda kusikojulikana ingawa aliniambia kama simtaki poa yeye atatoroka la kuchekesha jamaa akanitafuta eti mke wangu katoroka nampigia simu hapokei hebu mpigie wewe, nikamuuliza mimi kama nani yake mpaka apokee simu?? Sijawahi hata kula denda. Mpaka naondoka huo mkoa huyo dada hakuwa amerudi kwa mumewe.
🤣🤣GAZETI,
Guilt consciousness,ni lazima moyo ukulipuke,au jamaa ndio unamuona kaingia sehemu kakukuta ndani,halafu haongei anakutolea macho,unaweza kujikuta unatoa mbio.
Yaan kama anajua yale mambo, namuona kama anafaidi vile, alaf naongeza maujuzi amsahau kabisaaKwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia.
Tatizo ninalolipata ni kwamba kila nikikutana na mumewe huwa najihisi kukosa amani na uhuru. Mimi sijafanya chochote na wala sio mimi niliyemtongoza mkewe.
Hebu nije kwenu ndugu zangu ambao mmewahi kufanya hivyo.
HIVI UNAJISIKIAJE HASA UNAPOKUTANA NA MWENYE MKE AU MWENYE MUME?
wewe binti😂😂😂Najisikia fresh tu, yaani ni ile kila mtu a play party yake....wanaume wenyewe nyie mko wachache halafu nikae single ili iweje