Umewahi kuswekwa lockup(selo), Unakumbuka nini?

Umewahi kuswekwa lockup(selo), Unakumbuka nini?

Chemba imejaa mpaka maji ya mavi yanaingia kwenye selo, waliolala akina TID, NYANDU TOZ, BABU WA KITAA NA AKINA WEMA SEPENGA KATI HAPO
 
Nshalala Central Arusha Kituo Kidogo Kaloleni Pia Arusha Ilifika Kipindi Police Wakiniona Wananiacha Tu Mitaa Ya Shivaz Sikosekani Wakikamatwa Nami Nimo Maromboso Nililala Siku Moja Ila Saivi Nshakua Yashapita Sitaki Hata Kukumbuka.
 
Ila wanaume wengine sometimes hawana akili....na wewe ungemdai migegedo [emoji23][emoji23][emoji23]. Ni central ya wapi vilee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] kama ulikuwepo vle, nikawaambia tena alikuwa ananibinua samba sort za maana, afu show yke kuanzia goal 5 na kuendelea [emoji4] [emoji4]!!!
 
Back
Top Bottom