Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

mmmmhhhh nilidhani ume dedicate hiyo kwangu hahha lol
sasa umeitafsiri nimeipenda zaidi asante sana...



Nilizodedicate zote mama nilifikiri hukuziona maana hata PM sikupata ndio nikaona nijirudie kwa mafisadi.
 
Nilizodedicate zote mama nilifikiri hukuziona maana hata PM sikupata ndio nikaona nijirudie kwa mafisadi.

hahahahah lol
nimeziona zote
zilikuwa zinanichoma sana
ndo maana nikapiga kimya hahahhhhahhhah lol
 
kumbe AD unapenda kusoma signature za watu humu kama mm? Mi siwezi kuziorodhesha hapa lkn najifunza mambo mengi naposoma signature za watu humu.
 
kumbe AD unapenda kusoma signature za watu humu kama mm? Mi siwezi kuziorodhesha hapa lkn najifunza mambo mengi naposoma signature za watu humu.

mmmhh we acha tu
kabla sijasoma poster ya mtu mi nasoma signature kwanza lol
iwe mbaya au nzuri zote zina umuhuimu wake ..


The Following User Says Thank You to Jaluo_Nyeupe For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
AD mpenzi kumbe wewe mtu wa details? maana mie wala hizi signature some huwa sizionagi
Ngoja nianze ku-pay attention maana naweza kupoteza kibarua bila kujua ahahah LOL,
Habari za weekend?
 
AD mpenzi kumbe wewe mtu wa details? maana mie wala hizi signature some huwa sizionagi
Ngoja nianze ku-pay attention maana naweza kupoteza kibarua bila kujua ahahah LOL,
Habari za weekend?

hahahahhaha lol
vitu muhimu sana kwenye hizi signature..
mie nazisomaga kwanza kabla hata ya poster hahahah lol

mie hata hii nimeipenda sana.. kana ka uneno fulani hivi kataaaaamuuu.
hahahah lol

If I am not for myself, who will be for me? And if I am only for myself, what am I? And if not now -- when?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…