Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

haya sasa umeijuia..
unaweza nitumia ile zawadi yangu ya x-mass ya mwaka janaa
hahah lol
Nakwambia ilikuwa surprise baby, lakini naona haikufaa hahhaa maana nilikaa kwenye box
for couple days hahah waiting for u nikaishia kuji-surprise mwenyewe. I will work on
something soon! hahah LOL
 
Nakwambia ilikuwa surprise baby, lakini naona haikufaa hahhaa maana nilikaa kwenye box
for couple days hahah waiting for u nikaishia kuji-surprise mwenyewe. I will work on
something soon! hahah LOL

hahahahahah lol
afadhali hata huku ni summer sasa hivi..
ungekuja huku antarctic siku za winter halafu ukae nje kwa muda wote huo...
mmmmhhhh ningekupoteza mtu wangu hahahhha lol
 

Kweli umejitoa mhanga mama!Haya nimeshatuma vitakua hapo baada ya 3min!
 
hahahahahah lol
afadhali hata huku ni summer sasa hivi..
ungekuja huku antarctic siku za winter halafu ukae nje kwa muda wote huo...
mmmmhhhh ningekupoteza mtu wangu hahahhha lol
Ndo maana nilikimbia winter huku, lakini naona haikuwa riski! next tyme hahah LOL
 
.Rev Masanilo-- --Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see
Imetulia kweli, tatizo tu ni kwamba Rev. M hajatuambia kakwiba wapi hii quote maana for sure haikuanzia kwake. Mwambie aige mfano wako ..........hahah LOL
 
Imetulia kweli, tatizo tu ni kwamba Rev. M hajatuambia kakwiba wapi hii quote maana for sure haikuanzia kwake.
Mwambie aige mfano wako ..........hahah LOL

mmmhhh jamani itabidi unisamehe sana ..
nime i copy vibaya
haya hii hapa tena....
.Rev Masanilo-- --Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
 
mmmhhh asante ana mwaya
nimeshaanza nusa harufu za nyama mmmhhhh...

weye uko counter ya juu na KImey lol??
Hahaha bado hujapata??Mmh mbona sijamwona...ningempa ofa ya mbege!
 
mmmhhh
huu ndo ule wa madona au nimechemsha
hahaha lol
umepatia kweli, enzi hizo za madona huu ulikuwa moto and she is not getting
older either..............hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…