Aaa kuna dadaako alinipenda akanifundisha mengi ila sasa nimesahauDah umenikumbusha likizo kweli kwanteeee??? GFM na wewe wa home nini???
Aaa kuna dadaako alinipenda akanifundisha mengi ila sasa nimesahau
Najaribu kumwomba AD anifundishe lakini naona bei ya tuition iko
juu kweli......ngoja nitafute sponsor maana nimeanza kumiss
manguree
Alimtosa bwana, nilikuwa mzito wa lugha na nyie mkikuta lazima muende external serviceHa ha ha ha kwa hiyo ulimtosa mdogo wangu?/ Hufai kumbe eehh!! Ila Manguree inashibisha alooo ukinywa huli kwantee kabisa
Alimtosa bwana, nilikuwa mzito wa lugha na nyie mkikuta lazima muende external service
yakanishinda nikaachia ngazi hahah
Ha ha ha ha kwa hiyo ulimtosa mdogo wangu?/ Hufai kumbe eehh!! Ila Manguree inashibisha alooo ukinywa huli kwantee kabisa
Kinywaji cha kawaida ni busa. Mimi nadhani mangware' is a more ceremonial drink. Dena Amsi atatupa nasaha.
PUSH, what an acronym? Is one of the signatures which I appreciate.
During the Christmas and New Year holidays, I was in Masiyeda Area, where there is no network.
Kinywaji cha kawaida ni busa. Mimi nadhani mangware' is a more ceremonial drink. Dena Amsi atatupa nasaha.
Pole sana nilijua. Ha ha ha umependa signature yangu Thanks
shikamoo dada..
naona unaendeleza chatroom fresh
asante..
zakushinda..
shemu wangu anaendeleaje???
hahaha lol
kumbe na we niwa kwetu lol
shikamoo dada..
naona unaendeleza chatroom fresh
asante..
zakushinda..
shemu wangu anaendeleaje???
Ina maana ya kwangu hamjaipenda?
Ina maana ya kwangu hamjaipenda?
Wamejaa tele humu
Marahaba!!
Hatimaye umeamka poa
Mie nikiahidi kitu lazima nitekeleze
Lakini huyo mumeo sijamuona sijui kanishit hataki kunipa support
BE kajaa tele hana maneno si unajua alivyo mpole??
mmmhh safi sana
yaani nimefurahi sana kusikia lol
mie ndo nimetka kazini lol
mmhhh nakwambia TF simtaki tena...
nimemwona kule kwenye "majina ya wasichana"
anamchakachua mtu mwingine....
kuanzia sasa niko single.