GFM nasikia umempa bei kubwa sana ya tuition mpaka kaogopa kakimbia hataki tena tuition yako
Mbona mie sijaona ngoja nikaangalie kachakachua infiii???
Hizi signecha mmeshafikia muafaka?
Hizi signecha mmeshafikia muafaka?
hahahahah lol
hii lugha gali sana dada yangu...
ni kati ya lugha ambazo si za kibantu..
kwa hiyo kama hana hela basi atafute njia nyingine ya kunifurahisha hahahah lol
shilkamoo babu
test 112
Hii mbona rahisi sana?? Ungemwambia sasa shida yako unaona haya
Hahahaha...maji bana hayana uhakika...waweza pata bakteria. Bia ni uhakika!!!
hahahah lol lita ngapi za bia kwa siku sasa babu??
mmmhh sinilidhani TF bado ananipenda ndo maana nikashindwa kumueleza hahaha lol
nipe ushauri dada yangu..:Cry::Cry::Cry:
Kunywa bia mpaka kiu ikatike....
hapa leo nini kinaongelewa? naona muda wa kwenda counter ya juu umefika ...na kesho ckukuuu bia itapata habari yake! Afro vp leo utakuja counter au? Wapi digidigi?
hapa leo nini kinaongelewa? naona muda wa kwenda counter ya juu umefika ...na kesho ckukuuu bia itapata habari yake! Afro vp leo utakuja counter au? Wapi digidigi?
Mweleze live usiogope kwanza anajua mila za home. TF achana nae kabisa hafai hata kwa lolote acha kabisa tena timka kwa mbali
Kunywa bia mpaka kiu ikatike....
mmmhh hapa leo ni habari mchanganyiko tu..
hii ni new chatroom lol
haya we nenda counter ya juu wasalimie huku
mie sije tena..
sina hamu nimegundua TF wangu hanitaki siku hizi sababu anamtu mwingine..
mie sina hamu acha nijikalie hapa nyumbani ..
dunia chungu sana hii..
mmhhhh:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
We njooo utoe machungu bana leo nimekuandalia Tikila na Balantine..mmmhh hapa leo ni habari mchanganyiko tu..