Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

mmmhh lakini hay amapenzi dada yangu..
mie nimempenda kwa dhati..
kila takalo nafanya na zaidi ..
jamani sina hamu kabisa...:Cry:

Kuachana kupo ila msubirie aje na sound zake
utaona utakavyokuwa mpoleeee
 
We njooo utoe machungu bana leo nimekuandalia Tikila na Balantine..
hapo kwenye Blue kuna mmasai hua anapitaga itabidi tununue limbwata tumuwekee digidigi akupende wewe tu....

Hivi kumbe na wewe unaamini limbwata sikujua aisee
 
We njooo utoe machungu bana leo nimekuandalia Tikila na Balantine..
hapo kwenye Blue kuna mmasai hua anapitaga itabidi tununue limbwata tumuwekee digidigi akupende wewe tu....

haya mie nakuja
lakini hakikisha tuna sober driver..
sababu mie leo sinywi kwa raha mie leo nakunywa kupoteza mawazo..
mmmmhhhh kwa kweli ndo maana nakupendaga bure..
ur always there for me hahaha lol
 
haya mie nakuja
lakini hakikisha tuna sober driver..
sababu mie leo sinywi kwa raha mie leo nakunywa kupoteza mawazo..
mmmmhhhh kwa kweli ndo maana nakupendaga bure..
ur always there for me hahaha lol
That's my Gal, I will always be there for you mpaka digidigi ajirekebishe.....
Usijali kuhusu driver.....tukishindwa sana tunaacha tukutuku, tunachukua taxi...thats my principle!!
 
That's my Gal, I will always be there for mpaka digidigi ajirekebishe.....
Usijali kuhusu driver.....tukishindwa sana tunaacha tukutuku, tunachukua taxi...thats my principle!!

Eti eeehhh haya!!!
 
Chat Room oyeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Semeni Oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mapinduzi Daima 12-01-1964 ::::

Which means kuanzia masaa mawili yajayo Serengeti Lager zinaanza kuumizwa mpaka majogoo! Sijui nianzie RGV - San Siro - Wayside - Ndelichako - Namnani(!) - JJ - Corner halafu nipandishe Bwagamoyo Road via The River Between - Coast (Sambusa) - Nguruko - TSquare (mishikaki ya thamaki) - then Tegeta (BM - Zero - Fairway - Fyatanga) - Supu nitakunywa Kibira halafu nageuza hadi oceanic Resort kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya Mapinduzi!

Bwana awe nanyi na signature zenu!
 
That's my Gal, I will always be there for you mpaka digidigi ajirekebishe.....
Usijali kuhusu driver.....tukishindwa sana tunaacha tukutuku, tunachukua taxi...thats my principle!!

Hapa nina mlinzi kweli.....mmh!!
Gotta find Pope, but first lazima nikashtaki kwa babu na saint....zile baraka alizotoa zile......
 
Hapa nina mlinzi kweli.....mmh!!
Gotta find Pope, but first lazima nikashtaki kwa babu na saint....zile baraka alizotoa zile......
Kwanza naomba urudishe ile avatar haraka....Me like them boobs!!
Mlizi yupo....usihofu kabsaa, hapa nilikua nasaidia tu mpaka Digidigi aamke...
Am your Protector...you know me better bana!
 
That's my Gal, I will always be there for you mpaka digidigi ajirekebishe.....
Usijali kuhusu driver.....tukishindwa sana tunaacha tukutuku, tunachukua taxi...thats my principle!!

mmmh now im looking forward..
order hiyo nyama choma..
tuanze na konyagi kwanza
kabla hatujaingilia ya wanzungu..
mmmhhh cant wait :car::car:
 
hapo kwenye RED sijui ulimfanya nini Eliza...
 

Amina!!!

ILa hizo baa zote ulizotaja ukipita hutanikuta!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…