Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Originally Posted by Smiles

Afrodenzi.......my dear!! twendzetu tukale gudtime....
achana na hao wataku-frustrate tuu bila mpango....
nakusubiri hapa nje...sawa mamie?


haya bibie nakuja:car::car:
asante mwaya..

Hapa ndo uliponiboa nikala kona unakubali kirahisi hivyo??? Hamjambo chat room???
 
nimekuja nimekuja Dena, Kimey na smiles mpo wapendwa ??
nini tena kinaendelea hapa kwenye chat room
 
nilizo chukia kupita zote ni signature za ms,thanks to invisible hayupo tena humu
 
Wadugu nimeamua kuleta huu uzi,,
kuuliza ni signature gani inayokufanya ufikrie na usiilewe maana yake?
me kuna signature ya member mmoja inasema SIMPLE LOOK BUT TOUGH IN WALLET. huwa inanichanganya na huwa sielewi mhusika alikuwa na maana gani.
 
umeshindwa kumwelewa wapi sasa? ngoja nikupe tafsiri kisharobaro...Anaonekana simple tu ila ana visu vya kutosha ....kifasihi fasihi ni hivi
usimdharau mtu kwa mwonekano wake ...

Masharobaro kama nimekosea ipotezeeni hapa nachanganya na za Safari lager...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…