Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Usipopenda ya kwangu lazima utakuwa mvivu wa kufikiri na mwoga wa changamoto........mpenda Sadala
 
Nenda juu kabisa kwenye line ya kulogoff utaona kuna sehemu imeandikwa
Setting. Pale ulipotumia kuweka Avatar kwa chini kuna sehemu imeandikwa
EDIT SIGNATURE Fungua hapo then fuata maelekezo!

asante, sana.
 
Nenda juu kabisa kwenye line ya kulogoff utaona kuna sehemu imeandikwa
Setting. Pale ulipotumia kuweka Avatar kwa chini kuna sehemu imeandikwa
EDIT SIGNATURE Fungua hapo then fuata maelekezo!

Asante, wewe ni mwalimu mzuri sana,
Thank you.
 
mkuu mimi natumia katefone.vipi kasiginecha kangu unakaona kwa hapo ulipokaa?sijui hata kakoje.

hauna hata kasiginecha mkuu
siku ukiwa kwenye komputa fuata maujanja aliyonipa GAZETI ili na wewe usomeke mkuu wangu,
kwenye kasimu itakuwaga ngumu.
 
Hii nayo kazi sasa. Tusome majina, tuangalie avata zenu, tusome michango yenu, mnataka tusome na siginecha zenu, dah?! Jamani, mi huo muda siupati.
 
Watu badala ya kufanya kazi eti wanakaa kujadili sahihi. Kweli miafrika ndivyo ilivyo.
 
hauna hata kasiginecha mkuu
siku ukiwa kwenye komputa fuata maujanja aliyonipa GAZETI ili na wewe usomeke mkuu wangu,
kwenye kasimu itakuwaga ngumu.

hata kwa njia ya simu una uwezo wa kuandika signature.
 
Back
Top Bottom