Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

All things are DIFFICULT before they are EASY - Thomas Fuller (RIWA)

Hii signature huwa inanipa moyo sana hasa ninapopata uzito katika mambo fulani
kiukweli imetulia.
 
“You see things; and you say, ‘Why?’ But I dream things that never were; and I say, “Why not?” ..... BIZ2GEZA.
 
I fooled you,now is your turn to fool others.
 

Fear attracts attack. by FANG!

..Why.. Negative emotions is magnetic (attracts) to what cause d it!!

TAFAKARI:..

...Mtoto mdogo amekuwa anacheza na nyoka ..kwa muda mrefu tu na akiwa salama salimini nyoka hakumdhuru. Mama yake alikuwa hamuoni akifanya hivyo wati wowote...

Lakini

Mara Mama akageuka na kuona Mtoto wake anacheza na Nyoka .. akapatwa na mshituko wa Woga na Wasiwasi (Fear) ... akahamaki na kukimbilia kujaribu kumchukua mtoto wake toka kwenye hatari ...

Mara?

Nyoka naye akawa mkali na kumshambulia (Attack) .. Mtoto!!

HONESTLY.

Nani amekuwa hatari na anaweza kuitwa Nyoka wa kweli? Mama, Mtoto au Nyoka
 
"If you tell the truth, you don't have to remember anything"-Mark Twain
 
Ni namna gani,ni jinsi gani tutawini maisha mpaka siku tunasema buriani,yelee uwi! ni jinsi gani Yesu wangu
by
'
excellent'​
 
jamani mie nimependa kuuliza leo, najua wengi tuna signature zetu mbalimbali lakini hutokea ukaona signature ya mtu hapa JF ukaipenda hata baadhi ukatamani iwe ya kwako.....binafsi zipo kadhaa nazipenda (yaweza kuwa ya kwako) na kwa heshima ya hao wenye hizo signature hebu naomba tuzitaje... maana hizo pia zatuonyesha ma- great thinker tulio nao

list ya kuanzia ni hii
  • BAK- Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
  • Mama D- Amri mpya nawapa - Pendaneni kama nilivyowapenda!!!!
  • ..........
hizo ni baadhi tu, hebu na wewe endelea
 
Tulishasema.
Hata hivyo.ngoja nirudie. . . napenda yakwangu.
 
Hii thread ilishakuwepogi, ila kurudia si dhambi.
Napenda moja inasema "Miafrika ndo tulivyo" ya Nyani Ngabu, bila kusahau kibwagizo cha Washawasha, Nalogg off.



Il Gambino.
 
Back
Top Bottom