Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
hii siipendi!
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
hii siipendi!
Ngoja mwenyewe kasema atatueleza. IN fact atanieleza mimi kwanzahii siipendi!
Ngoja mwenyewe kasema atatueleza. IN fact atanieleza mimi kwanza
Ngoja mwenyewe kasema atatueleza. IN fact atanieleza mimi kwanza
Kwa hiyo?
nimemaliza.
Samahani my friend ila mimi siipendi hii yako kabisa! naiona kama alama ya mental slavery, na neo-colonial metality incrustred in the victim himself... Sisemi that is who YOU are, nasema ndio ninavo soma hii signature yako. Imekaa pejorative zaidi, we are better than that, au I am too blonde again?
Haya ondoka
tayari.
Vuta subira kidogo mtu wangu, au sio?
Si umeona alivo nijibu hapo juu, mwenyewe bado nipo foleni hapa, ila akisha nambia nitamuuliza kama naweza kukwambia na wewe au kama atakuja kwako kukwambia na wewe.akishakueleza naomba unieleze.
Mbona bado
Si umeona alivo nijibu hapo juu, mwenyewe bado nipo foleni hapa, ila akisha nambia nitamuuliza kama naweza kukwambia na wewe au kama atakuja kwako kukwambia na wewe.
usinijibu uone kama nitarudi. Lol
Ondoka bana
Asante dear, na mimi nimefurahi kurudi... I should have come earlier, I feel so good to interact!akikukataza nambie kisiri siri.Off topic: nafurahi kukuona tena.
Ondoka bana
Wageni hawajui waweza kusearch post ili wajue kama ilishawekwa??