Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Msaisahau 'No Second Chance to Make the First Impression' - Lukansola
 
Samahani my friend ila mimi siipendi hii yako kabisa! naiona kama alama ya mental slavery, na neo-colonial metality incrustred in the victim himself... Sisemi that is who YOU are, nasema ndio ninavo soma hii signature yako. Imekaa pejorative zaidi, we are better than that, au I am too blonde again?

nipo in love ujue RR
 
Msaisahau 'No Second Chance to Make the First Impression' - Lukansola

mkuu hii yako ni kali kuna kidemu nilisha kipiga chini kikawa kinanililia nikakiambia. No Second Chance to make ..............
 
If you knew where I'm coming from with it you wouldn't feel the way you feel now.
Kama unavosema I don't know you that much ila the little I know ni kwamba I haven't came accross independent minds like your's hapa JF na ndio maana wewe kuweka hii signature I am not comfortable... Maybe unieleze why this and not one that reflects your personality...
 
Nitakueleza chemba kule tunakopigaga stori. Hapa wanga wengi bana. Deal?
 
Back
Top Bottom