Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Hehehe mbona natongozwa?
Sema naonaga sredi za aina hiyo huchangii unapiga tu kambi pale mtaa wa chini.
Lol, nakuwa nalianzisha kwenye PM zao, yaani ungeona vile nawachimba mkwala, kesho ungenipeleka lunch.
mimi ni jeshi la mtu mmoja bana sipigani hazarani
 
yangu inatisha,kama hutaki hutibiki na kama hukubali jeuri.Nalog off
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Samahani my friend ila mimi siipendi hii yako kabisa! naiona kama alama ya mental slavery, na neo-colonial metality incrustred in the victim himself... Sisemi that is who YOU are, nasema ndio ninavo soma hii signature yako. Imekaa pejorative zaidi, we are better than that, au I am too blonde again?
 
Hii thread ilishakuwepogi, ila kurudia si dhambi.
Napenda moja inasema "Miafrika ndo tulivyo" ya Nyani Ngabu, bila kusahau kibwagizo cha Washawasha, Nalogg off.

Il Gambino.
Ahsante sana kwa kunitia nguvu,ubarikiwe sana😛oa.Nalog off
 
Lol, nakuwa nalianzisha kwenye PM zao, yaani ungeona vile nawachimba mkwala, kesho ungenipeleka lunch.
mimi ni jeshi la mtu mmoja bana sipigani hazarani
Hehehehe. . . .kumbe ndio maana hua hawanitumii PM walizoahidi ehhh?
 
Samahani my friend ila mimi siipendi hii yako kabisa! naiona kama alama ya mental slavery, na neo-colonial metality incrustred in the victim himself... Sisemi that is who YOU are, nasema ndio ninavo soma hii signature yako. Imekaa pejorative zaidi, we are better than that, au I am too blonde again?

If you knew where I'm coming from with it you wouldn't feel the way you feel now.
 
Back
Top Bottom