Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
hata kwa njia ya simu una uwezo wa kuandika signature.
Mimi nataka kwenye computer
hata kwa njia ya simu una uwezo wa kuandika signature.
Jamani nifundisheni na mimi jinsi ya kuandika Signature
unatumia simu au kompiuta.
Mkuu, Huwa najisikia vibaya sana ninapolaumu mtu/watu lakini kuna wakati inabidiWatu badala ya kufanya kazi eti wanakaa kujadili sahihi. Kweli miafrika ndivyo ilivyo.
Watu badala ya kufanya kazi eti wanakaa kujadili sahihi. Kweli miafrika ndivyo ilivyo.
Mwita25 hujui what is signature,
siyo ile sahihi yako ya kwenda kusaini posho kwa afisa mtendaji,
kwa vile hujui omba ueleweshwe kama nilivyofanya mimi mamndenyi.
Mwita25 hujui what is signature,
siyo ile sahihi yako ya kwenda kusaini posho kwa afisa mtendaji,
kwa vile hujui omba ueleweshwe kama nilivyofanya mimi mamndenyi.
Haya naomba unieleweshe basi.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA source: Mamndenyi
unaomba basi,
basi rudi nyuma (page 2 au 1) soma maelekezo niliyopewa na GAZETI.
Sijamuelewa kabisa
Kwa kuwa wewe ni one of my roll model,
naomba unijuze imekaaje kaaje hii sahihi yangu mimi mama yako?
Nenda juu kabisa kwenye line ya kulogoff utaona kuna sehemu imeandikwa
Setting. Pale ulipotumia kuweka Avatar kwa chini kuna sehemu imeandikwa
EDIT SIGNATURE Fungua hapo then fuata maelekezo!
It sparks the brain to think...good endeavorHabarini wana JF, Miongoni mwa vitu huwa vinanisisimua hapa JF ni signature
mbalimbali. Ziko zinazochekesha, zinazohuzunisha, Zinazoshangaza pia ziko
ambazo zinahitaji ufafanuzi kutokana na kuwa tata. Je kuna signature inakugusa
umeipenda, imekuhuzunisha au unahitaji ufafanuzi?
Pia si vibaya kama utafafanua maana ya Signature yako!
watu badala ya kufanya kazi eti wanakaa kujadili sahihi. Kweli miafrika ndivyo ilivyo.
siyo wote wanaotangatanga wamepotea source: mamndenyi