Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Take care....Angalia usalama kwanza, sawa AD? Don't drink and drive/cycle...if necessary, remember your helmet!!!

hahahahh lol
babu ulinifundisha vema nilivyokua chekechea..
uliyo nifundisha utotoni bado nayatimiza leo ...
asante sana babu..

i feel very lucky to have u...
 
hahahahh lol
babu ulinifundisha vema nilivyokua chekechea..
uliyo nifundisha utotoni bado nayatimiza leo ...
asante sana babu..

i feel very lucky to have u...

Me proud of you...kama bado unayakumbuka yote.. Nahofia usije kukumbuka baada ya mambo kuharibika......Babu DC!
 
Huyu digidigi anahitaji adhabu tu hawezi kutelekeza mrembo kama wewe asee! Ngoja nimwendee hewani aje hapa counter ya juu then tuyaongee tukiwa watatu! Jipodoe fasta.

hahahhah lol
mmmhh siku hizi anahangaikia mambo ya financial anasahau mambo ya family hahahah lol...
hata nipendeze vipi bado atanipitita tuu..
ila haman neno ni mume wangu kwenye shida na raha hahahah lol
itakuwa vizuri tukikuta wote watau hapo counter ya juu..
mie namalizia malizia hahah lol
 
Me proud of you...kama bado unayakumbuka yote.. Nahofia usije kukumbuka baada ya mambo kuharibika......Babu DC!

hapana huku sifiki babu..
nafikiria kabla ya kufanya ..

naogopa usije sema majuto ni mjukuu ndo maana nachukua tahadhari mapema..
 
Njooni mnibebe basi..Babu macho hayaoni tena..Hatu huo mgongo wa AD babu hauoni tena!!
Babu hapo ndo nnapokupendea yaani waongea kinyumenyume dah ckujua babu umezimika na mgongo wa mjukuu! Haya naja kukubeba hata kama huoni utapapasa!
 
Babu hapo ndo nnapokupendea yaani waongea kinyumenyume dah ckujua babu umezimika na mgongo wa mjukuu! Haya naja kukubeba hata kama huoni utapapasa!

hahahahah lol
wewe mmmhhh
 
Sioni jina langu,,au macho yangu:glasses-nerdy::rolleyez:
 


Senki you vere machi AD for including my signature in your list.

Kuna jamaa aliweka ya kwake akafuta simkumbuki jina ila ilinipa kutafakari sana

Inasema hivi ...."Kama kuoa ni baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa?"
 
smiles -"...Everyday I remind myself that my inner and outer life are based on the labor of others...."
Rugas -AIDS awareness slogan: Try different positions with the same woman instead of same position with different women.
Mzee Mwanakijiji-
Nimesoma Zaburi ya 35 hadi nimetetemeka; sijui nikuambie usome au usisome; amua mwenyewe- MM
 

Thanks babe,napenda ya kwako pia lkn zaidi nakupenda wewe kama wewe.

Blessings
 
hahahahahah lol
mmmmhhhhh afadhali hata kuna ambaye anajua AD anahitaji company..
mie TF kaniacha mazima siku hizi .....
haya ngoja nijipodoe nakuja ...

Dah!hii ndo inaitwa sharing is caring eeh??mpaka kwangu jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…