Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k

Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.

Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.

Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache. Nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"

Hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo. Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.

Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.

Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"

Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, Mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.

Mimi ndiyo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.

Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
...aUmefanya Vyema kumove on. Hakufai. Mungu atakujalia...!
 
Haha jana kuna demu nikakwambia nitumie majina yako nikukatie ticket yq ndege uje nilipo akasema sawa ila changamoto hana kitambulisho chochote... nikamwambia ndege bila ID yenye jina lako watakuzingua hvyo panda bus.. HAPO NDO NILIONA NJAA YA DEMU

akaniambia unanikatie ticket? nikamjibu ndiyo so wewe ukiww tayari niambie... akaanza kuuliza maswali ya kisenge unanikatia online au ofisin? nikamwambia acha kuuliza ujinga mbona wakati tunaongea kuhusu ticket yw ndege ukuuliza hayo maswali...

baadaye akaniambia kwa hiyo ukinitumia Hiyo nauli nikakata mwenyewe hilo bus unaona nitakutapeli [emoji23][emoji23][emoji23] nikaona tayar nataka kupigwa.. Nikamwambia mbona Ndege ujaomba nauli ukate mwenyewe? akakaa kimya mwisho nikamwambia Tulia kwenu hadi upate kitambulisho cha kupiga kula, Leseni au NIDA utakuja na ndege.

wanawake njaa sana
[emoji38][emoji38][emoji38] wanawake bhana
 
Kuhonga kwangu mwisho Elfu 50 tena kwa mwezi ikizidi hapo ni kibuti tu,wanaume tunapoteza pesa na muda wetu kipumbavu wakati mama zetu tunawapa pesa kwa mbinde!,wakati kila siku tunahonga kijinga
Watakuambia tusipangiane maisha
 
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k

Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.

Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.

Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache. Nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"

Hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo. Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.

Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.

Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"

Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, Mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.

Mimi ndiyo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.

Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
Safi sana hapo umefanya jambo la maana sana huo ndo uanaume sasa. Ukimrudia uyo utajuta kuzaliwa
 
Wanavyo jifanya matawi ya juu,watembele makwao wana hali ya kuungaunga, asubuhi tu unaweza ukamkuta na bakuri lake anasubiri mihogo "niwekee kama kawaida ya elfu...........",ukimfumania sasa na kumuuliza ww si uliniambia hulagi miogo,utamsikia '.......mimi na kulia hamu.........", mpaka una mshangaa ,hamu mihogo ya elfu moja.

Wanapenda maisha ya maigizo,kupenda makubwa wakati hawana kitu.
 
Kuna ka demu nilikatoa out, nikakalisha, nikakanywesha, tukaongea ongea nikakarudisha kwao. Nimekashusha nikatoa 20k nikakapa kiroho safi. Nafika home nakutana na msg "Umenionaje kunipa elfu 20"

Aisee kwanza nilishangaa sana, halafu nikakasirika! Ila nikajipa moyo maana nilikua sijatafuna mbususu. Nikafanya chapchap ndani ya wiki 2 zilizofuata nikapiga kama mara 4 hivi. Kwanza nikakuta sio katam wala nini. Baada ya kukatafuna nikapiga block kila mahali mpaka leo hakajawahi kunisikia tena..
 
Maisha magumu siku hizi, we ukiwa na hela mpe tu, ila kuna baadhi wanakela
 
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k

Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.

Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.

Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache. Nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"

Hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo. Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.

Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.

Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"

Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, Mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.

Mimi ndiyo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.

Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"

Achana na mbuzi huyo afterall mmekutana kila mtu ana meno yamejaa mdomo! Let her go!
 
Back
Top Bottom