Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Hawa viumbe baadhi ni chenga sana, wiki iliyopita hapa demu kaomba nimnunulie nguo. Nikaenda nae shop kachagua nguo na viatu nikalipa. Nikampa hela ya saluni nikarudi mihangaikoni kwangu na yeye karudi kwake.

Sasa simu yake imepasuka kioo kumuuliza akasema ilianguka. Nikaamua kumnunulia simu mpya ila sikumwambia so itakuwa ni surprise tu.

Tokea juzi namwambia tuonane anapiga chenga na sababu hakuna.
Jana nikamwambia tena tuonane akasema sawa atanijulisha akitoka ila ikawa kimya. Numemkumbusha mara tatu ila kapiga kimya jioni namuuliza kasema nilijisahau.

Basi nikapiga picha ile simu ikiwa full box na accessories zake nikamtumia whatsapp. Nikamwambia nilikuwa nakuita nikupe simu maana yako imepasuka ila kwa sababu ya ujinga wako na uongo uongo naenda kumpa mke mwenzio kisha nikapiga block kila kona.

Napigiwa simu kama customer care nikisikia tu ni yeye natia block tu.
Unyamaaz Sanaa yaani
 
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k

Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.

Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.

Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache. Nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"

Hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo. Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.

Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.

Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"

Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, Mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.

Mimi ndiyo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.

Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
Toa hela wewe. Kama hutoi pesa endelea na punyere hakuna mwanamke wa bure siku Hz maisha yashabana
 
Kuna ka dem nafukuzia nikale ila haka ni zaid ya chuma ulster mpka nataka kughairi kukala!!

Dem baada tu ya kunikubali kesho ana shida ni kampa 30k... yan huyu chuma ulete haoni hata aibu kila siku shida haziishi aisee!!

Jana kaniambia anataka kwenda tanga kwenye sherehe ya ndugu yake aliolewa na imepelea 40k nimuongezee..

Sasa ananizungusha tu kunipa tunda nimewambia kistarabu mbona unanibania sana wakati na kujali? Anasema nikirudi uta enjoy ila nimemwambia hapana nataka kabla haujaenda huko.. nilichoamua sasa asiponipa hiyo hela simpl na ninaachana nae tu maana kwasasa lengo langu nikupiga nakusepa tu sihitaji mahusiano na mwanamke tena
Huyu pisi ni Kama huyu mkuu
IMG-20221006-WA0004.jpg
IMG_20220929_203811.jpg
 
Haha jana kuna demu nikakwambia nitumie majina yako nikukatie ticket yq ndege uje nilipo akasema sawa ila changamoto hana kitambulisho chochote... nikamwambia ndege bila ID yenye jina lako watakuzingua hvyo panda bus.. HAPO NDO NILIONA NJAA YA DEMU

akaniambia unanikatie ticket? nikamjibu ndiyo so wewe ukiww tayari niambie... akaanza kuuliza maswali ya kisenge unanikatia online au ofisin? nikamwambia acha kuuliza ujinga mbona wakati tunaongea kuhusu ticket yw ndege ukuuliza hayo maswali...

baadaye akaniambia kwa hiyo ukinitumia Hiyo nauli nikakata mwenyewe hilo bus unaona nitakutapeli [emoji23][emoji23][emoji23] nikaona tayar nataka kupigwa.. Nikamwambia mbona Ndege ujaomba nauli ukate mwenyewe? akakaa kimya mwisho nikamwambia Tulia kwenu hadi upate kitambulisho cha kupiga kula, Leseni au NIDA utakuja na ndege.

wanawake njaa sana
 
Dah unyama sana mwanangu!
 
Kuna kamoja kalikuwa kamepanga nikakatembelea kwake, nikakapa elfu 50 ya matumizi, nafika home kananipigia gesi imeisha, kalikuwa kanatumia mtungi mdogo kanataka elfu 23.
Endelea na episode Yako basss
 
Vinachukuliaga pesa kirahis rahis sana,yaan wanawake wa sasa sjui akili zao zipoje,kwel utumie 300 000 kisimple simple tu

Kuna kengine niliwah kukaambia nikatafutie kazi kakawa kimya,yaan kumbe kanapenda pesa za kupewa tu
Hao wapo wengi sana yaani hiki kizazi tumefeli sana unasubiri pesa ya kupewa wakati mtu una uwezo wa kufanya KAZI na ukapata pesa yako menyewe!!
 
Kuna ka dem nafukuzia nikale ila haka ni zaid ya chuma ulster mpka nataka kughairi kukala!!

Dem baada tu ya kunikubali kesho ana shida ni kampa 30k... yan huyu chuma ulete haoni hata aibu kila siku shida haziishi aisee!!

Jana kaniambia anataka kwenda tanga kwenye sherehe ya ndugu yake aliolewa na imepelea 40k nimuongezee..

Sasa ananizungusha tu kunipa tunda nimewambia kistarabu mbona unanibania sana wakati na kujali? Anasema nikirudi uta enjoy ila nimemwambia hapana nataka kabla haujaenda huko.. nilichoamua sasa asiponipa hiyo hela simpl na ninaachana nae tu maana kwasasa lengo langu nikupiga nakusepa tu sihitaji mahusiano na mwanamke tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]subirii uliweee helaa
 
Haha jana kuna demu nikakwambia nitumie majina yako nikukatie ticket yq ndege uje nilipo akasema sawa ila changamoto hana kitambulisho chochote... nikamwambia ndege bila ID yenye jina lako watakuzingua hvyo panda bus.. HAPO NDO NILIONA NJAA YA DEMU

akaniambia unanikatie ticket? nikamjibu ndiyo so wewe ukiww tayari niambie... akaanza kuuliza maswali ya kisenge unanikatia online au ofisin? nikamwambia acha kuuliza ujinga mbona wakati tunaongea kuhusu ticket yw ndege ukuuliza hayo maswali...

baadaye akaniambia kwa hiyo ukinitumia Hiyo nauli nikakata mwenyewe hilo bus unaona nitakutapeli [emoji23][emoji23][emoji23] nikaona tayar nataka kupigwa.. Nikamwambia mbona Ndege ujaomba nauli ukate mwenyewe? akakaa kimya mwisho nikamwambia Tulia kwenu hadi upate kitambulisho cha kupiga kula, Leseni au NIDA utakuja na ndege.

wanawake njaa sana
[emoji1787][emoji23] tumeshakubaliana hapa ni kuwachezea na kuwatupa mpka wabadilike.. hakun kuoa takataka kama hizi
 
Back
Top Bottom