Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Mkuu ila mbona ni kama you don't grow!! Uko palepale miaka kadhaa sasa. Embu jitathmini
 
Mpenzi wangu mimi ni kichefuchefu hasa, anataka nimpe muda wangu wote.

Wakati mwingine namchunia tu,mana anielewi kabisa,kama leo nimemjuza nina deal nafuatilia.
AelewiView attachment 2384232
Wewe unadate na mwandishi wa vitabu, kazi unayo magazeti kama ya Mange Kimambi. Vijana mna kazi nawapa pole.

Hapo inatakiwa uwe kauzu unajibu tu kwa kifupi Seen.√
 
Kuhonga kwangu mwisho Elfu 50 tena kwa mwezi ikizidi hapo ni kibuti tu,wanaume tunapoteza pesa na muda wetu kipumbavu wakati mama zetu tunawapa pesa kwa mbinde!,wakati kila siku tunahonga
Serious na ndio tunakosa na baraka
 
😂😂😂
Tunakutanaga na wanawake wa ovyo basi tu wanaojua kupretend maisha we jiulize mwanamke kama huyo akija kuachwa anajiona kama kaonewa we mtu umetoka ghetto langu nimeona mpenzi wangu usiende hivi hivi nakupa elfu 20 eti unaanza kunipangia Cha kukupa alafu anaishika hiyo hela kama vile ni makaratasi kwa nyodo no Asante dawa yake ndio alinyooka hata nyodo zake ziliisha ila sababu ilinifanye niachane nae alikuwa ana drama nyingi sana tofauti na hiki nilichoandika
 
Kwa kweli mashuhuri yanamaliza sana pesa.
Ifikie stage tuwe tunawachangia kidogo na hakuna kwenda.
Maana sisi wanawake kuhudhuria sherehe gharama sana sijui kitambaa lace mita moja 25,000 ukiweka na mashono hapo lazima ikatike si chini ya 140,000...
😁😁😁😁😁😊😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Mpenzi wangu mimi ni kichefuchefu hasa, anataka nimpe muda wangu wote.

Wakati mwingine namchunia tu,mana anielewi kabisa,kama leo nimemjuza nina deal nafuatilia.
AelewiView attachment 2384232
Sijaona kosa lake.

Huyu mwanamke inaonekana anakupenda ila wewehujali hilo.

Yaani mnapanga kutoka unaghairi humuambii unakaa kimya?

Unakuja kumuambia last minute na hujali hata.

Usimpotezee muda na maumivu zaidi muache tu aende atapata mwingine.
 
Hapo hakuna mwenye makosa, maisha ndo yapo hivyo. Huyo jamaa na yeye ipo sehemu analialia kama anavyolia huyo mwanamke.

Grass is always greener on the other side ~ Ludacris.
 
Mkuu alijua utamtafutia kazi yenye mshahara mdogo siunajua dada zetu wanapenda kazi za kuonekana wapo ofisi kubwa.
Yaan hata hakutaka kuniuliza zaidi kazi ikoje,maana mimi nilimuuliza angependelea kazi yenye mshahara kias gan kwa mwez,akawa kimya akawa anauliza kama naweza msaidia hela tu
 
Back
Top Bottom