Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
Hana shukrani na sio mwelewa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlikuwa naamini atakuwa na akili tufanye jambo la maana. But kumbe ni very bogusWew jamaa una moyo Sana wanawake wote Hawa Bado kuna form four inakaribia kutema unakaa na limtu ambalo haina faida kwako
Yan apo yeye ndo kakupotezea mda wako useless relationshipNlikuwa naamini atakuwa na akili tufanye jambo la maana. But kumbe ni very bogus
Kaxa hapo hapo hakupendi huyoDemu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.
Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.
Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache.nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"
hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo.Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.
Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu.sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.
Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"
Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.
Mi ndo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
zoba nyie ndo mnaaibisha tasnia ya uanaumedaah kiukweli sijui mtapataga wapi ujasiri wa kuitolea nje mbususu,na hata haujawahi kuifumania!!,
kiukweli kwangu mimi, kama mbususu ikishatambua makosa yake na ikarudi kinyumenyume kama hiyo yako huwa sinaga ujanja kabisa,kiufupi hua ninakuwa taabani kabisa
SijaelewaDemu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.
Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.
Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache.nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"
hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo.Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.
Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu.sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.
Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"
Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.
Mi ndo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
[emoji1787][emoji1787]Hawanaga akili akili hao, nowdays mwanamke akikusumbua na ujuaji wanaoutoa kwenye tamthilia muache njia panda pita pembeni, anasema MUNGU wake atamlipia anadhani MUNGU ni mzee JolijoDemu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.
Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.
Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache.nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"
hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo.Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.
Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu.sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.
Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"
Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.
Mi ndo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
Shikilia hapohapo mzee baba usiachieDemu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.
Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.
Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache.nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"
hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo.Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.
Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu.sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.
Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"
Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.
Mi ndo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
Ni miaka au miezi ndg?Miaka 10 imepotea kirahisi hivyo??? Duh noma sana
Ni kweli mkuu, lakini na mtoa mada kama alikuwa hana wapenzi zaidi ya huyo bas nadhani atakuja kujua alikuwa anapoteza pesa nyingi kwasababu sasa hivi atakuwa anatunza pesa alizokuwa ana muonga huyo demu na kama ana akili atangundua huyo alisabisha hasifanye maendeleo ya kiuchumi.na atakutafuta kwaajili ya hela zako tu, trust me atamiss pesa na atafanya juu chini mtarudiana tu
Miezi 10 sio miaka 10.Miaka 10 imepotea kirahisi hivyo??? Duh noma sana