luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Sana hii kama ni kweli kaipiga kibwingwa demu alijiona mjanja kumbe kapatikana kaachiwa maumivu[emoji1787][emoji23][emoji23]Mwamba hii umeipiga kitaalamu sana. Keep it up.
...aUmefanya Vyema kumove on. Hakufai. Mungu atakujalia...!Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.
Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.
Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache. Nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"
Hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo. Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.
Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.
Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"
Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, Mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.
Mimi ndiyo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
Uyo Ni Kama mamaJ wangu[emoji4]Mpenzi wangu mimi ni kichefuchefu hasa, anataka nimpe muda wangu wote.
Wakati mwingine namchunia tu,mana anielewi kabisa,kama leo nimemjuza nina deal nafuatilia.
AelewiView attachment 2384232
Wadangaji wanapenda kujipandisha thamani na vingereza uchwara[emoji4]Huyu na vingrezaa uchwaraa hivi naee anadangaaa????[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mnajichanganyaga wenyeweKuna Huyo Mmoja Mimi niliamua iishe...They are too Selfish...Pango,Matumizi na a lot of unnecessary things nikaona sio inshu just for good endelea na Maisha mengine hata kama ni Mzuri.
[emoji38][emoji38][emoji38] wanawake bhanaHaha jana kuna demu nikakwambia nitumie majina yako nikukatie ticket yq ndege uje nilipo akasema sawa ila changamoto hana kitambulisho chochote... nikamwambia ndege bila ID yenye jina lako watakuzingua hvyo panda bus.. HAPO NDO NILIONA NJAA YA DEMU
akaniambia unanikatie ticket? nikamjibu ndiyo so wewe ukiww tayari niambie... akaanza kuuliza maswali ya kisenge unanikatia online au ofisin? nikamwambia acha kuuliza ujinga mbona wakati tunaongea kuhusu ticket yw ndege ukuuliza hayo maswali...
baadaye akaniambia kwa hiyo ukinitumia Hiyo nauli nikakata mwenyewe hilo bus unaona nitakutapeli [emoji23][emoji23][emoji23] nikaona tayar nataka kupigwa.. Nikamwambia mbona Ndege ujaomba nauli ukate mwenyewe? akakaa kimya mwisho nikamwambia Tulia kwenu hadi upate kitambulisho cha kupiga kula, Leseni au NIDA utakuja na ndege.
wanawake njaa sana
Watakuambia tusipangiane maishaKuhonga kwangu mwisho Elfu 50 tena kwa mwezi ikizidi hapo ni kibuti tu,wanaume tunapoteza pesa na muda wetu kipumbavu wakati mama zetu tunawapa pesa kwa mbinde!,wakati kila siku tunahonga kijinga
Ndio ndioSana hii kama ni kweli kaipiga kibwingwa demu alijiona mjanja kumbe kapatikana kaachiwa maumivu[emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ubwege wako ndiyo utakaokuua mapemaPrincipal ya wanaume kufa mapema itaendelea kutumaliza chief
Real?Naona vijana mmeamua hamtaki kufanywa chuma ulete. I'm very careful when it comes to how I spend my money.
Kwani we nawe ni binadamu au?Sio kila mtu anaweza kazi, binadamu tumeumbwa tofauti. Wapo wakutafuta na wapo wa kupokea, tafuta unaye endana naye.
Safi sana hapo umefanya jambo la maana sana huo ndo uanaume sasa. Ukimrudia uyo utajuta kuzaliwaDemu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.
Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.
Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache. Nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"
Hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo. Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.
Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.
Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"
Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, Mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.
Mimi ndiyo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
Unawezapanga kuhit and run halfu unabakiMnaokoteaga wapi wanawake wa hivyo,hao si wa eat and ran tu
🤣🤣🤣🤣🤭Kwani we nawe ni binadamu au?
Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k
Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana hayupo kazini na anataka mchango 150,000. Nauli na matumizi 100,000 na 100,000 ya sare.
Nikamwambia hapana sipo vizuri nami mambo yametindinganya kidogo.but nikamkumbusha kuwa nlimwambia atafute biznez ya mtaji wa wastani tu kiasi kisichozidi *********** then nimpe mtaji miezi 4 imekatika hamna majibu.
Akawa mkali. " Usitake kuninyanyasa na vicent vyako. Kukuomba tu pesa umeanza kunichambua, kama hutaki nisaidia basi niache. Nitapambana mwenyewe wala sikulazimishi"
Hii ni kama mara ya 4 anatumia kauli hiyo. Kuwa tuachane kama vipi huwa namwambia tu yaishe tusigombane.
Nikamjibu tu "Sawa" sikuandika kingine nika mblock. Baada ya siku 3 akajifanya amekosea kutuma msg ya kawaida tu sikujibu kitu. Akakosea tena mara ya pili. Sikujibu kitu. Mara ya tatu akapiga simu nikapokea nikamuuliza nani mwenzangu. Akakata simu.
Akaanza kutuma msg kuwa "yaani hatujawasiliana siku mbili umeshatafuta malaya wako. Hukuwa ukinipenda...na nitakuja mvuruga huyo malaya wako mpaka ashindwe kujitambua"
Sikumjibu. Baadaye akapiga this time ametulia na kuanza niuliza nipo wapi akitaka tuonane, nimemwambia tu sina nafasi nipo busy sana kwa sasa. Ameanza tuma msg akilaani nimemchezea tu nimemwacha, Mungu wake atamlipia...hakutegemea n.k.
Mimi ndiyo nimesha move on na ninashukuru zile pesa nlikuwa namtumia sasa nazisave na kuwapa wahitaji wengine na kutumia mimi binafsi. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Nikakumbuka waswahili wanasema "UNATISHIA KUJAMBA WAKATI UNAHARISHA"
Hawa me wenzetu wana us3ng mwingi sana, wanatuchoresha sanaTena mwanamke atamdanganya kwamba amejirekebisha[emoji16]
Hakuna hela za kuchezea bossMaisha magumu siku hizi, we ukiwa na hela mpe tu, ila kuna baadhi wanakela