Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

Hahaha babu kati ya hao wawili umemuoa yupi!?
 
Navyosema demu wa kawaida namaanisha small booty avg face in short hana maajabu ya kustaajabisha!! /
 
Freshi tu, kutongoza demu asiye na mvuto halafu akatae haiumi unaona bora amekataa
 
😂
 
Mimi mwenzenu hadi malaya ananikataa hivi nina shida gani wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…