Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

Huyo demu hajakutana na wandewa.Atanasa tu na anapigwa kata funua kama kawaida.THIS HOES AINT LOYAL TO NO BODY BUT THEIR FEELINGS!!!

Demu akikukazia wewe sio kigezo kuwa haliki.Ila ni wewe huna mbinu.Demu yoyote analika ikiwa kama moves zako ziko calculated.

📌📌📌Ndomaana nawaambia madogo tafuteni hela,vaeni vizuri nukia smart,kuwa na confidence,mind your business(punguzeni shobo),getto kali kama la ngwea.Mwisho kabisa usiwe na pupa.Hakuna paka itakatiza kwenye mtego wako na akafanikiwa kutonasa.

🚨Kuna mademu nilijilia bila kutongoza sababu tu ya kutokuwa na shobo(minding my business)vijana wengi wa afu mbili hii mbinu mnaichukulia poa ila ni mbinu KABAMBE!!
 
umewahi kujiuliza anakwepa usione au kujua nini ndani yake hadi anakukataa gentleman?🐒
Ni kweli sometimes inakuwa hivyo,Kuna demu nilikuwa namsalandia alafu full nyodo na staki nataka kibao ila katika kutafuta info zake kabla sijaforce kingi.

Nikavujishiwa na mndani wangu kuwa huyo demu K yake inatema na anahaha kutafuta tiba🙌🙌🙌So sometimes hawa viumbe huwa wanakaza kutoa ushirikiano kwakua wanajua hali zao sio nzuri,vijana sometimes wakubali vingine sio riziki haviliki🤝
 
Playboy the way wanavyo tongoza huwaga hawapo serious ila mabinti hwachomoki.
 
uko sahihi kabisa gentleman
 
Kama wewe umesema, ni nani atabisha mkuu? I salute you! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Sawa mkuuu
 
alikuwa bonge nilitaka kuchukua uzoefu mpya ila alichomoa akidai anamtu wake hata ivyo kwabaadaenilijilaum sana
 
Aisee
 
Nje ya mada, hivi kwa nini mleta mada huwa una dislike kila mtu, kila comment?
Ni kweli kwenye uzi mzima kunakuwa hamna comment hata moja unayonipenda?
Ana pigo za kike sana huyo jamaa.
 
Ukiwa na muonekano mzuri au Status kubwa ukamfuata mwanamke au msichana mwenye muonekano wa kawaida utapigwa kibuti kilichoenda vidato.Inatokea mara nyingi na hukataa ili kujilinda na matokeo ya kutendwa maana anajua uwezo wa ku compete kwenye mahusiano hana when other goods are available in the market 😊😊

Mimi huwa naelewa misimamo yao na siwezi kuwachukia.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…