Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Mi sioni kama kuna ubaya ktk Hilo mtoto wako kutumia account zako.ilimradi account hiyo ilikua inafanya mambo ya kimaendeleo.
 
Mke wangu atakayemiliki simu yangu Kama nitakufa kabla yake.
 
What is Out there is Out There......; Wewe fahamu chochote unachofanya, unachoongea kwenye hizi simu kinaweza kikawa wazi siku moja....

Kwahio kama hutaki / unataka kitu kibakie kwako wewe pekee kibakishe kwenye mawazo yako
 
Back
Top Bottom