Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
😄😄😂 sema kuna watu wana sura 7 humu, picha ya juzi sura ni tofauti na yaleo
Ndo hapo tutakapojua nani ni nani sasa. 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😂 sema kuna watu wana sura 7 humu, picha ya juzi sura ni tofauti na yaleo
😂 mtu ana sura 7 miili 10 sasa unasevu sura ipi, wananchanganyaga 😃😄😄
Ndo hapo tutakapojua nani ni nani sasa. 🤣🤣
kama artificial intelligence, siamini kufa
vizuri sana kwa kufunguka haujaelewa technical terms na counter attacks zilizopigwa katika kujibu ulichocomment.Nasemea hyo kugoma ku log in mbona jibu Hali relate kabisa ndio umecopy huko chatgpt bila ku edit
Thanksvizuri sana kwa kufunguka haujaelewa technical terms na counter attacks zilizopigwa katika kujibu ulichocomment.
Nimeongelea issue za private browsing labda kuzihusishanisha na ulichocomment ni kwamba
"ukilog out data za username yako inabaki" kwa sababu hautumii private browsing
na kwny maelezo yangu hapo yameeleza kuwa moja wapo ya sababu ya username inaonekana na data nyingne ambazo binafsi hutaziona zinabaki ni ili kukusaidia wewe kutumia MBs chache.
Na kwenye computer networking kuna vitu vinaitwa resources, kwaiyo izo data kutofutika na kutolazimika kwako kuziomba tena kutoka kwny mtandao kunasaidia pia kupunguza jam na kusaidia mifumo iwe na ufanisi zaidi.
kitu kingine tena ambacho unaweza sema hakirelate na wewe mfano mtu mtanzania akisearch neno "cariha" kwny google ile data labda kama imehifadhiwa na server ambayo ipo Marekani, na huyo mtu akapata majibu yake akamaliza, ile data itabaki imehifadhiwa kwny servers zinazoserve Tz, ili kwa wakati mwingine mtu anapotafuta kitu asikiombe kutoka mbali, ila karibu,
vivyo hivyo wewe iyo username kubaki ni sababu kama hiyo, faida kwako na kwa mifumo. Kama unataka kujilinda zaidi unaweza chukua hatua mbadala kujihami na dark sides za hiyo.
nawasilisha.... ChatGPT #human_content
Michepuko......Simu yangu Ina password kila Kona[emoji38]
Umakini ni muhimu.Jamani kuna watu wana ma-file yetu hapa JamiiForums, wanasubiri tujichanganye tu wakiwashe😅. Guys stay safe out there.
Duh 🙄🙄Amani kwenu wana jukwaa
Direct kwenye mada…
Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako?
Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge kwamba imewezekana vipi mtoto wa marehemu akatumia Account ya mzazi wake? Je alikuwa na username? Je alikuwa na password?
Hizi kauli zikanifanya niwaze kama kweli members tuna uelewa wa privacy zetu hapa JamiiForums? Nijuavyo mimi uki-log in kwenye account yako, inabaki kuwa hivyo mpaka wewe mwenyewe uamue ku- log out au ku-clear data. Hii ni kwa yoyote anaetumia App au browser (aki - install ile app ya kwenye browser). Hivyo basi, mtu yoyote anaeweza kuipata simu ya mhusika, anauwezo wa kuitumia account yake unless awe ana log out kila akitoka.
Kutokana na technology kuwa kubwa, nafikiri ni wakati sasa wa uongozi wa JamiiForums (Moderator) ,kufanya mabadiliko kwenye systems zao kuendana na uhitaji. Waweke 'one time password system' ili kutulinda members wao. Hii ni system salama zaidi kwa vile hautalazimika ku-log aut kila mara ili uwe salama, system itafanya hiyo kazi na wewe utakapotaka ku log-in itakutumia password ya kutumia kwa wakati huo.
Hik ni muhimu kwa vile simu na computer tunazotumia kuingia hapa JamiiForums zaweza kuibiwa. Waza kwamba wewe ni baba umefariki, simu ikachukuliwa na binti yako (sio wote wanaweka password ), binti anaingia kwenye PM yako anakuta uliwahi mtongoza maana ID zetu hazijulikani. Au mama amefariki kijana wake anaingi PM anakuta mtu aliekuwa anamtongoza na kumsumbua kila mara ni mama yake. Je mhusika atakuwa kwenye hali gani?
Siku moja kuna bro aliniomba nimsaidie pc yake ime corrupt windows, baada ya repair nikiwa naweka mambo sawa nikakutana na folder imeandikwa JamiiForums, ikanivutia sana nikafungua. Ndani nilikuta sub-folders kama 40 zikiwa na majina ya members ninaowajua hapa Jamii Forums. Kufungua nakuta picha mbali mbali ambazo anazikusanya kwenye uzi wa selfika😅. Kumbe kila mdada akiweka picha, jamaa ana-icopy na kuhifadhi. Kwa kweli sikujua lengo na kwa vile ni boss wangu sikuweza kumuuliza. Ila namfatilia kwa karibu sana maana id yake nimeijua na huwa hapendi ku-comment.
Jamani kuna watu wana ma-file yetu hapa JamiiForums, wanasubiri tujichanganye tu wakiwashe😅. Guys stay safe out there.
Kupiga bao sio kwasababu ya moyo kuliwazwa nikwasababu ya uchungu.roho inapotoka sio kitu rahisi.Ndo maana wako wanaume wanaopiga bao na wanawake wanaoingia period.ile hali haiji kwasababu ya raha bali maumivu.Kwani wa kufa sasa hivi hujitambua?
Mimi nimeuguza wagonjwa wengi "wa kufa", mpaka sasa utafiti na uzoefu wangu nimegundua, kujua kwamba unakaribia kufa sasa hivi, ni baraka na kudra ya Mungu ambayo huipata wachache.
Vifo vingi huja kwa hadaa ya kupona, kama ni mzima unataka kufa, kupata vishawishi vya kuingia eneo hatarishi unaloenda kupatia kifo chako nk nk.
Muda wa kufa ukifika, moyo hujazwa furaha, huruma na busara za bandia ambazo kabla mtu hawi nazo.
Hadaa hizo huendelea kupumbaza roho kama liwazo na wakati wa kukata kabisa roho, huja raha kubwa sana kuweza mtu "kujaculate" na ushahidi upo watu kukutwa wamemwaga manii wanapokufa.
Je wewe mwenzetu una mkataba gani na Mungu wa kuweza kuelewa haufi sasa hivi, waweza kutupa uzoefu wako japo kidogo?
Kuna mtu anayejua paswod yako...?Duh,Ila kweli jamani...huko kufa umeenda mbali nawaza tu hata kupotea!
Simu yangu haina password...Kuna mtu anayejua paswod yako...?
So yakitokea ya kutokea hii account yako itakua still active..?Simu yangu haina password...
Ukishakufa hata taarifa zako hazina kazi tena hata kama uliwatukana CCM! JF hatuupload SEX PHOTOS WALA VIDEOS So relax swali la msingi JIULIZE UKIFA LEO UNAENDA WAPI?Amani kwenu wana jukwaa