Hatahivyo wanadada wanaoutupia picha mara kwa mara uzi wa selfika hawafiki 40. Na hatakama wangefika inahitaji huyo bwana awe hana kazi ya kufanya ili kila picha ikiwekwa aipate maana hakuna muda maalum wakuweka picha, na zikiwekwa hazikai zinafutwa, too good for them hakuna GBJF.
Na kama hana kazi anayofanya basi anakosa sifa ya kua boss wa mleta mada, ikiwa hivyo habari inapoteza credibility.
Ila angalizo lake ni la msingi. Japo maoni ya one time password(OTP) siyaungi mkono. Ni usumbufu kila unapotaka kuingia ulog in kwa password nyingine, very cumbersome. Pia sio salama kuipa system jukumu la kulinda usalama wako, kwamba yenyewe ndo ikutengenezee OTP. System zinakua comprised kila siku.