Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Kwamba Bossi hatumii social networks nyingine zaidi ya jf ???
Nimesema folder ka-rename "JamiiForums"
Kwanini umeanza na habari za kifo mkuu mtu kuingia kwenye akaunti yako si mpaka ufe mwingine anaeza azima simu yako ili atumie intanet akakuta upo jf n
Nimetumia kifo kama mfano tu, ila mazingira ya mtu kuona privacy zako ni mengi.
 
Nina ndugu yangu tuna share baba anajua siri zangu nyingi na miki najua zake nyingi ninamwambiaga oya siku chochote kikitokea we wahi simu yangu najua vyote anavojua na ata asivyo vijua havito m mshtua sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi simu izi acha tu
 
Kabisa mkuu zina mambo mengi sana😂
 
Mbona picha nyingi hata saivi ukienda kule unazikuta mkuu anaekichafua ana matatizo yake binafs kwani uzi unahusu kuselfika kwa kujisnap na kutupia kwenye uzi..!
Lazima ana sababu zake japo sikufanikiwa kuzijua.
 
Sawa. Nani ana delete sasa?

Atakakekuwa nayo, ku delete ni ku reset, hatogusa hata data yangu moja.

Nina backup online nalipia ya 1t anayo access yake mwanasheria wangu.

Ina data zote za muhimu, login na picha toka za utotoni.

Mwanangu wa kiume akifika tu 20 years, Nitampa, kama sipo, mwanashetia wangu atampa.

Langu vitu vyote vya mkononi na laptop no one can access anything.
 
Lazima ana sababu zake japo sikufanikiwa kuzijua.
Kwahio ukafanikiwa kulogin kutumia id yake na kugundua ni mtu asiekoment sana na kwamba selfika Huwa anapita kimya kimya na kuchukua picha za wadada ausii??
Kweli umetishaaa wewe Ninoumaaaaa!
 
Atakakekuwa nayo, ku delete ni ku reset, hatogusa hata data yangu moja.

Nina backup online nalipia ya 1t anayo access yake mwanasheria wangu.

Ina data zote za muhimu, login na picha toka za utotoni.

Mwanangu wa kiume akifika tu 20 years, Nitampa, kama sipo, mwanashetia wangu atampa.

Langu vitu vyote vya mkononi na laptop no one can access anything.
Safi sana, umeweka ulinzi nzuri
 
Back
Top Bottom