Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Huwezi jishughulisha ukiwa umekufa, waza ukiwa hai kwamba siku nikifa wanaobaki watanionaje kupitia simu yangu? 😂
Watakuonaje vp na ushakufa, the dead have nothing to do with the living world, uwe ulikuwa mfiraji, ulikuwa jambazi, shoga, nk ndo ushaondoka , haupo tena
 
Mimi natumia Password tu na siyo fingerprint!

Simu ina password, line ina pin, ko nikifa hakuna wa kuunlock simu yangu labda waiflash! Nikifa nakufa na vilivyomo
 
Unazidi kujiharibia. Uwezekano wa kuendelea kukuamini na kukupa connection itakugharimu
Mkuu mpaka nikaandika hivyo najua hana madhara kwangu. Ni boss si kwa maana ya kuwa niko chini yake sehemu ya kazi, ni boss kwa mishe za kitaa tu. Pia ame comment hapo juu akicheka hope niko salama
Unazidi kujiharibia. Uwezekano wa kuendelea kukuamini na kukupa connection itakugharimu
 
Hakuna cha PC ya bosi wala mavi yako mkuu hapo niwewe ndie unasevu zile picha na umekuja kwa id yako nyingine!
Limtokalo mtu mdomoni, ndivyo alivyo moyoni.
 
Amani kwenu wana jukwaa
Direct kwenye mada…

Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako?

Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge kwamba imewezekana vipi mtoto wa marehemu akatumia Account ya mzazi wake? Je alikuwa na username? Je alikuwa na password?

Hizi kauli zikanifanya niwaze kama kweli members tuna uelewa wa privacy zetu hapa JamiiForums? Nijuavyo mimi uki-log in kwenye account yako, inabaki kuwa hivyo mpaka wewe mwenyewe uamue ku- log out au ku-clear data. Hii ni kwa yoyote anaetumia App au browser (aki - install ile app ya kwenye browser). Hivyo basi, mtu yoyote anaeweza kuipata simu ya mhusika, anauwezo wa kuitumia account yake unless awe ana log out kila akitoka.

Kutokana na technology kuwa kubwa, nafikiri ni wakati sasa wa uongozi wa JamiiForums (Moderator) ,kufanya mabadiliko kwenye systems zao kuendana na uhitaji. Waweke 'one time password system' ili kutulinda members wao. Hii ni system salama zaidi kwa vile hautalazimika ku-log aut kila mara ili uwe salama, system itafanya hiyo kazi na wewe utakapotaka ku log-in itakutumia password ya kutumia kwa wakati huo.

Hik ni muhimu kwa vile simu na computer tunazotumia kuingia hapa JamiiForums zaweza kuibiwa. Waza kwamba wewe ni baba umefariki, simu ikachukuliwa na binti yako (sio wote wanaweka password ), binti anaingia kwenye PM yako anakuta uliwahi mtongoza maana ID zetu hazijulikani. Au mama amefariki kijana wake anaingi PM anakuta mtu aliekuwa anamtongoza na kumsumbua kila mara ni mama yake. Je mhusika atakuwa kwenye hali gani?

Siku moja kuna bro aliniomba nimsaidie pc yake ime corrupt windows, baada ya repair nikiwa naweka mambo sawa nikakutana na folder imeandikwa JamiiForums, ikanivutia sana nikafungua. Ndani nilikuta sub-folders kama 40 zikiwa na majina ya members ninaowajua hapa Jamii Forums. Kufungua nakuta picha mbali mbali ambazo anazikusanya kwenye uzi wa selfika😅. Kumbe kila mdada akiweka picha, jamaa ana-icopy na kuhifadhi. Kwa kweli sikujua lengo na kwa vile ni boss wangu sikuweza kumuuliza. Ila namfatilia kwa karibu sana maana id yake nimeijua na huwa hapendi ku-comment.

Jamani kuna watu wana ma-file yetu hapa JamiiForums, wanasubiri tujichanganye tu wakiwashe😅. Guys stay safe out ethereal
alimuelewa jamaa anieleweshe
 
Jamani kuna watu wana ma-file yetu hapa JamiiForums, wanasubiri tujichanganye tu wakiwashe😅. Guys stay safe out there.
uliingia kwenye ma file ya watu ya nini kama sio umbea
 
alimuelewa jamaa anieleweshe
Kwanza hujaelewa nilichoandika, tafuta kwanza kuelewa.
uliingia kwenye ma file ya watu ya nini kama sio umbea
Wewe ndie kiongozi wangu wa umbea, umesahau kama ulinifundisha? 😂

Nilipewa ruhusa ya kukagua files zote ili nifute zisizo na maana kwake kwa ajili ya kuongeza space. Umeelewa mbea mwenzangu
 
Una akili sana wewe, aje na ID yake ya G. Watu tunamchora tu, aendelee ataumbuka soon... marehemu anaandika comment upuuzi mtupu.
Una tatizo na mimi labda?? Id ipi?? Hebu umbua hapa basi
 
Kwanza hujaelewa nilichoandika, tafuta kwanza kuelewa.

Wewe ndie kiongozi wangu wa umbea, umesahau kama ulinifundisha? 😂

Nilipewa ruhusa ya kukagua files zote ili nifute zisizo na maana kwake kwa ajili ya kuongeza space. Umeelewa mbea mwenzangu
rudia ulichoandika ulivutiwa kufungua folder la jf kuliangalia, na huo ndio umbea kuangalia visivyokuhusu
 
Aliekufa kafa tu haibadilishi chochote hata siri zikijulikana.

Kuhusu huyo boss wako aliekupa kazi kwenye pc yake akipita hapa atakujua tu umefunguka sana.

Kuhusu kutunza picha sidhani kama ni kwa nia mbaya, n kuweka kumbukumbu.
Hizo picha zenye sura nusu? Kama yangu anatunza halafu anasubiri upande mwingine aunge au?
 
Back
Top Bottom