raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Binadamu wa sahv watakachokuta kwenye simu yako hakuna kitakachowashtua labda pesa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku moja kuna bro aliniomba nimsaidie pc yake ime corrupt windows, baada ya repair nikiwa naweka mambo sawa nikakutana na folder imeandikwa JamiiForums, ikanivutia sana nikafungua. Ndani nilikuta sub-folders kama 40 zikiwa na majina ya members ninaowajua hapa Jamii Forums. Kufungua nakuta picha mbali mbali ambazo anazikusanya kwenye uzi wa selfika😅. Kumbe kila mdada akiweka picha, jamaa ana-icopy na kuhifadhi.
Hata mimi sikusema kafanya kwa nia mbaya.Kuhusu kutunza picha sidhani kama ni kwa nia mbaya, n kuweka kumbukumbu.
Usijali, amesha comment tayari hapo juu😂😂Kuhusu huyo boss wako aliekupa kazi kwenye pc yake akipita hapa atakujua tu umefunguka sana
mwenyewe nilifikiri hadi maanko anawajua nilikua niseme hiiiUmeenda mbali nimemaanisha vitu kama simu,mpesa ,airtel money ,Atm,document
Huna ubavu wa kuwa boss wangu, ka-comment kabla yako😂😂
Sasa kama umerudisha jezi hiyo aibu itakupataje?Amani kwenu wana jukwaa
Direct kwenye mada…
Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako?
Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge kwamba imewezekana vipi mtoto wa marehemu akatumia Account ya mzazi wake? Je alikuwa na username? Je alikuwa na password?
Hizi kauli zikanifanya niwaze kama kweli members tuna uelewa wa privacy zetu hapa JamiiForums? Nijuavyo mimi uki-log in kwenye account yako, inabaki kuwa hivyo mpaka wewe mwenyewe uamue ku- log out au ku-clear data. Hii ni kwa yoyote anaetumia App au browser (aki - install ile app ya kwenye browser). Hivyo basi, mtu yoyote anaeweza kuipata simu ya mhusika, anauwezo wa kuitumia account yake unless awe ana log out kila akitoka.
Kutokana na technology kuwa kubwa, nafikiri ni wakati sasa wa uongozi wa JamiiForums (Moderator) ,kufanya mabadiliko kwenye systems zao kuendana na uhitaji. Waweke 'one time password system' ili kutulinda members wao. Hii ni system salama zaidi kwa vile hautalazimika ku-log aut kila mara ili uwe salama, system itafanya hiyo kazi na wewe utakapotaka ku log-in itakutumia password ya kutumia kwa wakati huo.
Hik ni muhimu kwa vile simu na computer tunazotumia kuingia hapa JamiiForums zaweza kuibiwa. Waza kwamba wewe ni baba umefariki, simu ikachukuliwa na binti yako (sio wote wanaweka password ), binti anaingia kwenye PM yako anakuta uliwahi mtongoza maana ID zetu hazijulikani. Au mama amefariki kijana wake anaingi PM anakuta mtu aliekuwa anamtongoza na kumsumbua kila mara ni mama yake. Je mhusika atakuwa kwenye hali gani?
Siku moja kuna bro aliniomba nimsaidie pc yake ime corrupt windows, baada ya repair nikiwa naweka mambo sawa nikakutana na folder imeandikwa JamiiForums, ikanivutia sana nikafungua. Ndani nilikuta sub-folders kama 40 zikiwa na majina ya members ninaowajua hapa Jamii Forums. Kufungua nakuta picha mbali mbali ambazo anazikusanya kwenye uzi wa selfika😅. Kumbe kila mdada akiweka picha, jamaa ana-icopy na kuhifadhi. Kwa kweli sikujua lengo na kwa vile ni boss wangu sikuweza kumuuliza. Ila namfatilia kwa karibu sana maana id yake nimeijua na huwa hapendi ku-comment.
Jamani kuna watu wana ma-file yetu hapa JamiiForums, wanasubiri tujichanganye tu wakiwashe😅. Guys stay safe out there.
Amani kwenu wana jukwaa
Direct kwenye mada…
Siku moja kuna bro aliniomba nimsaidie pc yake ime corrupt windows, baada ya repair nikiwa naweka mambo sawa nikakutana na folder imeandikwa JamiiForums, ikanivutia sana nikafungua. Ndani nilikuta sub-folders kama 40 zikiwa na majina ya members ninaowajua hapa Jamii Forums. Kufungua nakuta picha mbali mbali ambazo anazikusanya kwenye uzi wa selfika[emoji28]. Kumbe kila mdada akiweka picha, jamaa ana-icopy na kuhifadhi. Kwa kweli sikujua lengo na kwa vile ni boss wangu sikuweza kumuuliza. Ila namfatilia kwa karibu sana maana id yake nimeijua na huwa hapendi ku-comment.
It's dangerous Kwa kweli ukitaka ku log out had uninstall application ni usumbufu. Nimewahi banwa sehemu thanks God nilikuwaga sijalog in long time and I deleted the application. Wafikirie security hasa nchi hii ukitumia jf unakuwa ka suspectSafi, wewe umenielewa[emoji106]
Zamani JF ilikuwa uki log out haiachi jina, sikuhizi hata uki log out mtu akija anaingia na kuona I'd yako, nikitoka ku log out Huwa mpaka ni uninstall application kabisa
Kabisa, wengi tunajidanganya tulo salama lakini tumapoteza simu, wanaoziokota/ziiba na wakatuta hazina passwords wanajua mangapi?It's dangerous Kwa kweli ukitaka ku log out had uninstall application ni usumbufu. Nimewahi banwa sehemu thanks God nilikuwaga sijalog in long time and I deleted the application. Wafikirie security hasa nchi hii ukitumia jf unakuwa ka suspect
Hapana Kwa kweliSio kuwa ume enable autofill na kuiambia app au browser yako ikumbuke log in info zako?
It's dangerous Kwa kweliKabisa, wengi tunajidanganya tulo salama lakini tumapoteza simu, wanaoziokota/ziiba na wakatuta hazina passwords wanajua mangapi?