Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kama umeweka ulinzi, kuna watu hata password haweki na simu imejaa mizigo balaa😂Yangu mpaka waka reset simu ndo waitumie hivyo wadau msiwe na shaka hakuna atakayeziona pumba zangu humu na kutambua ni mie Marehemu wao nilivyokua najimwambafai humu
Kwani wa kufa sasa hivi hujitambua?Duh! Kweli aisee ngoja nisafishe simu yangu sasa hivi. Sifi leo lakini mjue.
Mimi simu yangu sijawahi kuweka password..naswipe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa naona kero kubaki naingiza kila mudaBora kama umeweka ulinzi, kuna watu hata password haweki na simu imejaa mizigo balaa[emoji23]
Hakika umesema jambo la maana sana👍Kwani wa kufa sasa hivi hujitambua?
Mimi nimeuguza wagonjwa wengi "wa kufa", mpaka sasa utafiti na uzoefu wangu nimegundua, kujua kwamba unakaribia kufa sasa hivi, ni baraka na kudra ya Mungu ambayo huipata wachache.
Vifo vingi huja kwa hadaa ya kupona, kama ni mzima unataka kufa, kupata vishawishi vya kuingia eneo hatarishi unaloenda kupatia kifo chako nk nk.
Muda wa kufa ukifika, moyo hujazwa furaha, huruma na busara za bandia ambazo kabla mtu hawi nazo.
Hadaa hizo huendelea kupumbaza roho kama liwazo na wakati wa kukata kabisa roho, huja raha kubwa sana kuweza mtu "kujaculate" na ushahidi upo watu kukutwa wamemwaga manii wanapokufa.
Je wewe mwenzetu una mkataba gani na Mungu wa kuweza kuelewa haufi sasa hivi, waweza kutupa uzoefu wako japo kidogo?
Binadamu wa sahv kwa asilimia kubwa tabia zinafanana sio waheshimiwa sio nani wooote sawa tu 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hadi nimepaliwa
Means michepuko ipo ila hyo wtt hawajuiUmeenda mbali nimemaanisha vitu kama simu,mpesa ,airtel money ,Atm,document
We una comment kila uzi boss utakuwa ww! We ushaambiwa boss yy ni kusoma tu na kuchukua picha za watu selfika hukoMimi kama boss wako hadi hapa nishakujua...
Hujui kuwa kufa ni chaguo? Wote tutakufa mwishoni lakini bado mtu unaweza kuamua kufa kesho au kesho kutwa.Kwani wa kufa sasa hivi hujitambua?
Mimi nimeuguza wagonjwa wengi "wa kufa", mpaka sasa utafiti na uzoefu wangu nimegundua, kujua kwamba unakaribia kufa sasa hivi, ni baraka na kudra ya Mungu ambayo huipata wachache.
Vifo vingi huja kwa hadaa ya kupona, kama ni mzima unataka kufa, kupata vishawishi vya kuingia eneo hatarishi unaloenda kupatia kifo chako nk nk.
Muda wa kufa ukifika, moyo hujazwa furaha, huruma na busara za bandia ambazo kabla mtu hawi nazo.
Hadaa hizo huendelea kupumbaza roho kama liwazo na wakati wa kukata kabisa roho, huja raha kubwa sana kuweza mtu "kujaculate" na ushahidi upo watu kukutwa wamemwaga manii wanapokufa.
Je wewe mwenzetu una mkataba gani na Mungu wa kuweza kuelewa haufi sasa hivi, waweza kutupa uzoefu wako japo kidogo?
Hilo sikupingi, uhai ni dhamana impasayo mwenye nayo kuilinda au kuisaliti kwa kuiondoa.Hujui kuwa kufa ni chaguo? Wote tutakufa mwishoni lakini bado mtu unaweza kuamua kufa kesho au kesho kutwa.
Hakuna kifo kisicho cha hiari!Hilo sikupingi, uhai ni dhamana impasayo mwenye nayo kuilinda au kuisaliti kwa kuiondoa.
Mantiki yangu ilijikita kwenye vifo visivyo vya hiyari.
Watakuonea wapi?Huwezi jishughulisha ukiwa umekufa, waza ukiwa hai kwamba siku nikifa wanaobaki watanionaje kupitia simu yangu? 😂
Miaka imebadilika labda uwe unatumia private browsing.Zamani JF ilikuwa uki log out haiachi jina, sikuhizi hata uki log out mtu akija anaingia na kuona I'd yako, nikitoka ku log out Huwa mpaka ni uninstall application kabisa
Unazidi kujiharibia. Uwezekano wa kuendelea kukuamini na kukupa connection itakugharimuAsubutu aone nifufue makaburi yake[emoji23][emoji23]
We una comment kila uzi boss utakuwa ww! We ushaambiwa boss yy ni kusoma tu na kuchukua picha za watu selfika huko
ChatGPTMiaka imebadilika labda uwe unatumia private browsing.
Kuhifadhi data za utafutaji na uingizaji (inputs) kama vile fomu na maelezo mengine kwenye kivinjari cha mtandao (browser) kuna lengo la kuboresha uzoefu wa mtumiaji. Hii inamwezesha mtumiaji kujaza fomu kwa urahisi na haraka bila kuandika upya kila wakati. Pia, kuhifadhi data hii inaweza kusaidia kupunguza kasi ya matumizi ya data, kwa sababu kivinjari cha mtandao kinaweza kutumia data iliyohifadhiwa badala ya kupakua tena kutoka kwa tovuti.