Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Hapo sawa! 👊🏾

Nilijua ni wale wa naomba ni-copy movie/series kwenye 🖥 yako alafu wanachukua private files kinyemela.😬
😂😂 Hapa sina hiyo tabisa kabisa. Aliomba msaada tu ndio na mimi nikaona
 
Uzi bila picha ni BATILI.
Screenshot_20230504_131032_Drive.jpg
 
Kuishi vizuri ndo kupoje?
Nahisi kuishi vizuri ni kufanya jambo lako kwa uhuru lakini usimdhuru mtu
Ikiwa na kuchukua tahadhari kwa wale watakaobaki baada ya wewe wasijue ulichowaficha.
 
Hatahivyo wanadada wanaoutupia picha mara kwa mara uzi wa selfika hawafiki 40. Na hatakama wangefika inahitaji huyo bwana awe hana kazi ya kufanya ili kila picha ikiwekwa aipate maana hakuna muda maalum wakuweka picha, na zikiwekwa hazikai zinafutwa, too good for them hakuna GBJF.

Na kama hana kazi anayofanya basi anakosa sifa ya kua boss wa mleta mada, ikiwa hivyo habari inapoteza credibility.

Ila angalizo lake ni la msingi. Japo maoni ya one time password(OTP) siyaungi mkono. Ni usumbufu kila unapotaka kuingia ulog in kwa password nyingine, very cumbersome. Pia sio salama kuipa system jukumu la kulinda usiri wako, kwamba yenyewe ndo ikutengenezee OTP. System zinakua comprised kila siku.
Huo uzi wa selfika umejaa maneno kuliko picha, ni wachache sana hupost picha na kuiacha ikae.

Huo utaratibu wa OTP sikubaliani nao kabisa.
 
Mbona umeongea kinyume na ninavyojua. Ukiachana na wale wanakufa kwenye usingizi, aliyekuwa macho naona Huwa anaumia sana wakati anakata roho. Au walikuwa na masambi mengi? 😅
Kudanja ni bonge la anasa asikudanganye mtu!
Watu huwa "wanakojoa" kabisa kwa starehe na burrrrdan.
 
Back
Top Bottom